One night stand with JF member

One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
EMT kitu ambacho mimi personally naamini ni kua ukishapata mchumba the mwenza via JF, lazima upigwe STOP za electronic networking zoote... and naona ni understandable...

Unapiga super injunction kuingia JF? Siku akija na style mpya na maridadi halafu akuambie ameisoma JF you might consider removing the ban.
 
Humu wanadanganyana tu, ndio maana wanataka one nite stand wakinasa wanarudi kulalamika humu

kulalamika eti alikuwa amemzidi miaka sita. Kuna mwingine alikuwa analalamika anapigiwa simu saa sita za usiku. Halafu walikuwa bado hawajafanya one night stand. Sijui ingekuwaje kama walikuwa wameshafanya.
 
Nitamkomesha kwenye hiyo nite stand ili apunguze wingi wa thread, si baada ya night stand atapotea kidogo?

Ataingia na ID nyingine. Lakini kama aliku-attract "kimoyomoyo" (maandishi yake) utamshtukia tuu.
 
kulalamika eti alikuwa amemzidi miaka sita. Kuna mwingine alikuwa analalamika anapigiwa simu saa sita za usiku. Halafu walikuwa bado hawajafanya one night stand. Sijui ingekuwaje kama walikuwa wameshafanya.
Waswahili hatuwezi haya mambo ya nite stand tuwaachie wazungu, embu fikiria waanawake wengine hawajawahi kufika kilele sijui wanaita, mara anaipata kwenye hiyo nit stand!!!! asikupigie saa sita usiku kwa nini!!!?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Waswahili hatuwezi haya mambo ya nite stand tuwaachie wazungu, embu fikiria waanawake wengine hawajawahi kufika kilele sijui wanaita, mara anaipata kwenye hiyo nit stand!!!! asikupigie saa sita usiku kwa nini!!!?

hili nalo neno
 
Subiri sasa purukushani za Bjbj kwa Gaga, utajuta kwa nini uliandika hivi 🙂


Nafikiri hii part itawafaa...





Tonight I'mma give it to you harder
Tonight I'mma turn your body out
Relax..Let me do it how I wanna
If you got it I need it
And I'mma put it down

Buckle up 'mma give it to you stronger
Hands up We can go a little longer
Tonight I'mma get a little crazy
Get a little crazy, baby

​
 
nafikiri hii part itawafaa...





tonight i'mma give it to you harder
tonight i'mma turn your body out
relax..let me do it how i wanna
if you got it i need it
and i'mma put it down

buckle up 'mma give it to you stronger
hands up we can go a little longer
tonight i'mma get a little crazy
get a little crazy, baby

​


you really sound like a very naughty girl...lol
and u like bad boys too lol
 
One night stand haina tatizo pale mtakapostick to the plan sio kugeuza ndalilo.. Mnapeana raha mkishamaliza kila mtu anakula hamsini zake, na kama mmekutana JF basi badilisheni majina yenu kuepuka zile awkward moments.
 
Nafikiri hii part itawafaa...





Tonight I'mma give it to you harder
Tonight I'mma turn your body out
Relax..Let me do it how I wanna
If you got it I need it
And I'mma put it down

Buckle up 'mma give it to you stronger
Hands up We can go a little longer
Tonight I'mma get a little crazy
Get a little crazy, baby

​
Hizi beti nahisi nalala nazo nishachoka
 
EMT belive me the Avatar tell you a lot about a person... bahati mbaya unaweza kua wrong kabisaaa au uka hit jackpot!

Kwa maandishi, I doubt. Wapo ambao ni wazuri sana kuongea kwa maandishi and vice versa. Kwa avatar wapo wanasema it can tell how big the person ego is, how they would like to be or have that physical appearance, etc. Wengine kwa kumpenda or respect someone b'se of what they have done for themselves or to the society. Wengine because they hate that person or the thing. Wengine because of a certain event which happned in history. Avatar za Osama ziliongezeka humu baada ya kuuawa. But my opinion is that although one's avatar and user-name may reflect on their interests and on themselves, sometimes, for those who's avatar and user-name seem to have nothing to do with anything in particular.
 
Unapiga super injunction kuingia JF? Siku akija na style mpya na maridadi halafu akuambie ameisoma JF you might consider removing the ban.


The Ban will absolutely be removed in that case...lol
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kabisaaa... unless you are really lucky or you are both absolute players... yaani kumvulia nguo a stranger kwako ni poa tu!
Hahahaa!
My instincts tells me inaweza kuwa player na player, au player na desparate creature, na huwa player ni ME, na desparate (wakati mwingine unknowingly) ni KE.
 
Hujawahi kumtamani rafiki wa mkeo au GF na ikabaki hivohivo wala usiseme milele? na humu hivohivo mie namtamani buji kweli

Amri ya Kumi inasema usitamani mwanamke asiye mke wako! Bado sijui kama hii ina-apply pia vice versa
 
No no no no... This i did in courtesy of the video Bak ameturushia....

Asha D, usikatae kwa nguvu hivyo, hilo ni kosa la kwanza! Kuna qualified mind readers humu! Usifanye makosa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Amri ya Kumi inasema usitamani mwanamke asiye mke wako! Bado sijui kama hii ina-apply pia vice versa
Dhambi nyingi tu tunakatazwa but we keep on doing them, i hope tutapata nafasi ya kutubu before its too late
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom