One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Kuna watu Bigirita mko so comaptable kiasi kwamba the make na lugha iko sawa sawa hata experience zako sio necessary na woote mnafurahia to the maximum... mnapokua tofauti katika lugha ya hilo tendo na the make hapo experience inabidi ichukue mkondo wake...

Orait, kwa maana hiyo, one nite stand haiwezi kutosha kufanya majumuisho! One nite stand sio experiment nzuri coz specimen,at least one of them is set to default, that is hit and f.uck off.
 
Asha D umenikumbusha yule mdau aliyenzisha sredi akitaka kujua kama mtu unaweza kuwa attracted na mdau mwingine kwa maandishi yake tuu, i.e kusoma posts zake. Mwingine akasema hata avatar inaweza ku-shed some lights.

EMT belive me the Avatar tell you a lot about a person... bahati mbaya unaweza kua wrong kabisaaa au uka hit jackpot!
 
Ndio kabisa, unakuwa attracted ila kimoyomoyo sio kila kitu kinachokuattract ukifatilie
 
  • Thanks
Reactions: EMT
EMT belive me the Avatar tell you a lot about a person... bahati mbaya unaweza kua wrong kabisaaa au uka hit jackpot!
Asha na avatar za picha halisi je? maana naona wengi picha si zao
 
Kimoyomoyo attraction. Labda hizo ndio zinalead to one night stand?
Hujawahi kumtamani rafiki wa mkeo au GF na ikabaki hivohivo wala usiseme milele? na humu hivohivo mie namtamani buji kweli
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Orait, kwa maana hiyo, one nite stand haiwezi kutosha kufanya majumuisho! One nite stand sio experiment nzuri coz specimen,at least one of them is set to default, that is hit and f.uck off.

Kabisaaa... unless you are really lucky or you are both absolute players... yaani kumvulia nguo a stranger kwako ni poa tu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom