One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
BjBj experience naamini hua tofauti hivyo na outcome tofauti... kama it was a great one nite stand i guarantee hizo PM ndo kabisaaa... ikiwa tofauti unakwepa hata kuchangi post ambayo kapita mwenzio....lol
Hivi humu watu huwa wana date??? lol mbona makubwa
 
mh! inategemea,mlikusudia nini,kama ilikuwa ni ya kutamani tu,vikolombwezo vitakoma.lakini kama ni ya dhati toka moyoni,basi vitaendelea na zaidi.
 
Hivi humu watu huwa wana date??? lol mbona makubwa

Karibu tule date

dates.jpg
 
hahahah BUJIBUJI bwana mie unanifurahisha na mada zako...i guess mkitokea kufanya hivyo,then mtakuwa mnaoneana haya fulani hivi....hautakuwa huru tena kujiexpress ukijua mwenzio anakusoma michango yako hii inapelekea mie kujiuliza kuna wanandoa humu wanaojuana id zao?:biggrin1:
 
Ohhh maskini alidate na mtu wa humu akamtosa? duu mpe pole sana


Walidate wapi... ilikua one horrible experience ya one nite stand... en ways tuache tu... I believe you are well and good Gaga.
 
Walidate wapi... ilikua one horrible experience ya one nite stand... en ways tuache tu... I believe you are well and good Gaga.
Ina maana walikutana humu au nje ya JF mie niko fiti
 
Ina maana walikutana humu au nje ya JF mie niko fiti


I can understand your curiosity... ni kua walikutana na kukutana JF, but one nite stand wakikutana kitaa wakatamaniana na kuridhishana then aftermath ikawa issue, nilitolea mfano coz niliambia na muhusika,, hivyo nilikua nakutoa doubts kua kweli wapo. Bahati mbaya hawa iliwatokea hivi ila naamini wapo ambao walifurahia ndo mpaka they are thinking of doing it again, mana haiwezekani zote zikawa failure...
 
ilikuwaje?

Ilikuwa tofauti, tofauti sana.
Vitana mnataka wenza kila mahali, hata chooni. Kuweni waoga kidogo, mnaweza kuacha kutamani hovyo hovyo.
1 nite stand inaweza kuwa lisence to unknown!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom