Umeelewa kama mimi. Unakutana na mtu club, mnaenda sehemu hata majina hamjuani wala namba za simu hampeani, mnafanya yenu, mnaagana...hiyo ndio one night stand.
Hiyo nyingine labda ni friends with benefit...!
Just because I understand it differently haimaanishi nakuunga mkono. Epuka uzinzi utakuangamiza.
Shibe ya makande mbaya sana bora ushinde na njaa..........
Ila watu ni wabishi dadeki yani unamganda mtu as if mliingia mkataba?? Kwamba sheria itamfunga! Aiseeee huyo hajakutana na akili za usiku walai
Yani benteke sijui huwa unawaza nini tu?????
u know, just for fun.... [MENTION]Khantwe [/MENTION] niaje.
MankaM sijui nini hata. mtu anaona kabisa unampotezea lakini wapi anakuja tu. Inatakiwa mnakulana na kesho mambo yanaendelea kama kawaida...sasa wengine eti wanaweka mpaka wivu wakati wanajua kabisa hamna serious mahusiano.