Hivi hilo neno hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana?
Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke jamani, au nakosea nini? maana wengi wananiganda baada ya tendo.
Binafsi naona kama nikiwaambia onenight stand anaweza kukimbia maana hawa wadada wa maofisini kwa kujishaua?
Hivi hilo neno
hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana?
Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke
jamani, au nakosea nini? maana wengi wananiganda baada ya tendo.
Binafsi naona kama nikiwaambia onenight stand anaweza kukimbia maana
hawa wadada wa maofisini kwa kujishaua?
Nyooo ndio maana unavalishwa g-string
Tatizo hawataki kuelewa..hawasikii.
1 9t stand????? Mtu anaanzaje kukuganda wakati mnakuwa hamjuani ila kama ni rafiki yako hiyo inakuwa for fun and not one night stand
Umeelewa kama mimi. Unakutana na mtu club, mnaenda sehemu hata majina hamjuani wala namba za simu hampeani, mnafanya yenu, mnaagana...hiyo ndio one night stand.
Hiyo nyingine labda ni friends with benefit...!
Hahahaha..duh! Na mimi naomba one night stand..!
Yan leo nakuvizia hata sikuoni
Sema hakyanani...!
There are two kinds of perfect people; Those who are dead, and Those who have been born yet..