Afadhali umenielewa dia...naona kuna watu hapo juu wanajifanya malaika kumbe ndio wazinzi wa kutupwa....sasa swali langu ni huwa namwambia wakati gani? kabla au baada ya ku du....seriously ni tatizo kubwa kwangu.Mh one night stand wanakuganda? labda ninayoijua mimi ni tofauti manake hainaga kujuana wala mawasiliano.
Shibe ya makande mbaya sana bora ushinde na njaa..........
Ngoja nikutumie....
Hivi hilo neno hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana?
Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke jamani, au nakosea nini? maana wengi wananiganda baada ya tendo.
Binafsi naona kama nikiwaambia onenight stand anaweza kukimbia maana hawa wadada wa maofisini kwa kujishaua?