One Muslim who is telling the truth

One Muslim who is telling the truth

Ndugu yangu MziziMkavu, tatizo la huyu jamaa ni kwamba yeye ni fanatic wa kiislam beyond proven doubt. Kawaida mafanatic wote wa hizi dini za kuletewa (ukristo, uislam) wanaona dini zao ndiyo msingi wa maisha kitu ambacho ni kosa kwani kila mtu ana haki ya kuabudu kile anacho kiona kinamfaa. Ni makosa ku impose sharia kwa kila mtu kwani kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake na kufanya kile akitakacho na ndiyo maana tunaenda shule ili kuondoa ujinga na kupambana na maisha ya baadaye. Sikashifu waislam lakini sharia ya kiislam ni sawa na ukomunisti na sote tunajuwa kuwa ukomunisti ni adui wa haki ya binadamu. Mfano ulio hai, si unaona Misri? Kule waislam na wakristo wanaandamana kumpinga raisi wao kwa kutaka ku impose sharia ndani ya Misri. Unafikiri kwanini? Ufanatic wa dini si mzuri hata kidogo kwani unamfanya mtu kuwa mpumbavu wa maadili mema na kubeza unafiki kama wafanyavyo walokole na huyu imam. Kama unamfahamu huyu imam, kwa kumsaidia tu...mwambie kama anaona sharia ina manufaa kwake basi aimpose kwa familia yake kwani hao ndiyo wanaomuhusu!
 
Yeah_umeongea hoja nzito sana mkuu,..walokole na wavaa visuruali vifupi ndio wanao haribu hii dunia.
 
Mtume (s.a.w) amesema, semeni ukweli japo kua una uma. That message is clear and right.
 
He who the cap fits, let him wear it
 
Back
Top Bottom