Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 257
Toba mi nilifikiri mambo haya ni hapa bongo tuu kumbe na ulaya pia nao wamizibuka vile kiu chizi na wapo simpoli na wala hawana munkar wa woga
Whaat?Wewe hao watu ndo hawafai kabisaaa, iko siku kwenye public toilet nilikuta mijibaba miwili na haraka zao wakasahau hata kufunga mlango, mmoja kapiga magoti mwingine kasimama. Yule aliyesimama alikuwa anatukana matusi anamwambia mwenzake anyonye haraka, sasa sijui alimpa hela. Mi nilitoka nduki sikugeuka nyuma.
Whaat?
Ni bongo au Ulaya mkuu?True story bro, kwenye public toilets huko ni kawaida kukuta namba za simu ukutani.Siku hizi polisi wanafanya patrol mara kwa mara, wakiwakamata wanawapiga fine tu.
Ni bongo au Ulaya mkuu?
Hao wazungu waliovurugwa, alafu mtu anadai Waafrika tuna matatizo gani sijui...Angalia hiyo selfie tunayoongelea mkuu ndio utanielewa.