Usiogope kuanza upya mahali pengine, iwe ni biashara mpya, mji mpya, au mfumo mpya wa maisha. Thamani yako halisi itajulikana pale utakapothubutu kupiga hatua na kuacha yaliyopita nyuma. Ondoka, ukakue, ukaongezeke!Kukubali kuhama kijiwe, iwe kifikra au physically ni gharama na inahitaji ujasiri. Nachukua mfano wa baadhi ya wadau, utakuta anaishi Kibaha lakini anasali Kijitonyama. Kule Kijitonyama anakoenda kuabudu kuna kitu cha ziada anachokifuata. Kinaweza kuwa kizuri au kibaya, ila kama ni mazoea basi ni hasara.
Ondoka CCMOndoka kwenye dini
Usiogope kuanza upya mahali pengine, iwe ni biashara mpya, mji mpya, au mfumo mpya wa maisha. Thamani yako halisi itajulikana pale utakapothubutu kupiga hatua na kuacha yaliyopita nyuma. Ondoka, ukakue, ukaongezeke!Mkuu yaani kama vile umenisema mimi,tangu niondoke home zone atleast naona mambo yanachange,hakika MUNGU ni mwema
Ondoka kwenye dini uliyorithishwa na wazazi wako.
Ubaya wa comfort zone (ukanda wa faraja) ni kuwa inaua uwezo wako wa kukua, kujifunza, na kufikia mafanikio makubwa kwa kukufanya uridhike na hali ya sasa hata kama hapo ulipo si kilele cha ndoto zako.Inafika time inaitaji kuikana nafsi outmatic,upweke na hofu ya mazingila mapya hutesa sana ila few time unacopy mazingila unasonga mbele