Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,388
- 157,732
Mazee,
Waache wafanye wanavyotaka.
Kama wewe unafikiri kuacha label kwenye suti ni ulimbukeni, wakiondoa hizo labels kama unavyotaka, utawajuaje kwamba hawa ni malimbukeni?
Mimi huondoa labels katika suti, although lately I don't even have to since I don't even see those coming with my new suits, lakini hilo kamwe halinifanyi nimshangae au kumsimanga anayependa kuacha label.
Hujui sababu yake. Hujui etiquette ya biashara yake. Pengine kwao kuonndoa label ni sawa na wewe kutoondoa.
Huyo jamaa ni unorthodox, umeona pete zake mbili hapo?
Angetuvalia kiherini sijui ungesemaje.