Ondoeni label kwenye makoti / suti zenu

Ondoeni label kwenye makoti / suti zenu

Sikonge

Platinum Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,635
Reaction score
6,238
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Musoma Utalii akimpa mkono mgeni rasmi Waziri Nyalandu wakati wa mahafali hayo ya kumi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
 
Watajuaje kama suti ni mpya mkuu
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Musoma Utalii akimpa mkono mgeni rasmi Waziri Nyalandu wakati wa mahafali hayo ya kumi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Nitarudi baadae nikiamka.
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mmoja wa wahitimu wa Chuo cha Musoma Utalii akimpa mkono mgeni rasmi Waziri Nyalandu wakati wa mahafali hayo ya kumi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]

Ulishawahi kununua moja kama hiyo? Mimi nilinunua na kufanya ujinga wa kuiondoa nilijuta kwani hiyo imeshonewa hasa hivyo unaweza ukaichana suti! Kwa kawaida kitu kinachotakiwa kuondoshwa basi huekewa uzi mwepesi na sio kushonewa.

Inabidi wakati mwengine ufuate mitindo hata kama unahisi kidharau!
 
Mkuu,
Tunatia aibu wakati mwingine jamani. Umeshawahi kuwaona hata hao Matajiri wakubwa duniani, Mawaziri, Mabalozi, Marais nk ambao wanavaa suti za bei kali sana wakiwa na hizo label?
Kwanini tusikumbushane na kusaidiana kuficha aibu zetu? Sasa hapo kama wapo Wakenya, si watatucheka sana?

Nashukuru jamaa yetu wa Msata kwa kweli kwenye kuvaa, wamemzunguka watu wazuri sana maana vinginevyo, siku moja angelitoka yupo na Malkia au Obama akiwa kavaa suti yake yenye Label.
Hivi unaiona suti ya Nyalandu hapo? Unauona huo uzi wake ulivyo wa bei mbaya? Hilo ni SILK ambayo faida yake kubwa ni kuwa: Inapumua na hivyo haina joto sana, nyepesi, haishiki uchafu haraka, haikunjiki ingawa kufua ni dry cleaner only.
label za makoti ya watu waache wamependa
 
Ulishawahi kununua moja kama hiyo? Mimi nilinunua na kufanya ujinga wa kuiondoa nilijuta kwani hiyo imeshonewa hasa hivyo unaweza ukaichana suti! Kwa kawaida kitu kinachotakiwa kuondoshwa basi huekewa uzi mwepesi na sio kushonewa.

Inabidi wakati mwengine ufuate mitindo hata kama unahisi kidharau!

suti za bei chee au za mafungu ndo hushonewa lebo. Mie sijawai ona hio kitu
 
Ahh, hizo suti za kuwa zimeshonelewa permanent, zitakuwa kwa ajili ya Watanzania tu basi 🙂

Nchi za nje wakati ninaishi huko, sikuwahi kuona suti ikiwa imeshonelewa kiasi kwamba huwezi kuondoa label yake, labda iwe ni ndani ya Suti. Pia mara nyigi mimi nilikuwa nashona kwa vipimo. Yaani unaenda kwa fundi cherehani na kitambaa chako na kushonewa kulingana na vipimo vyako vya mwili.

Watu wa West Africa ukianzia na Congo (Francophones) ni wagonjwa sana wa kuvaa na ndiyo maana huu wimbo wa Sekouba Bambino Diabate uitwao Kasouma-ma ulipata umaarufu sana ambapo jamaa anatamba kashona SUTI lake kwa kupimwa yaani kwa lugha ya Malinke(Bambara ) wanasema Kasoumama.
Nakushauri uwe unashona mwenyewe kwa vipimo (KASOUMAMA) na unamwambia Fundi asikuwekee hizo Label nje ya suti.

Last edited by a moderator:

Kwa hivyo tusivae suti hadi tuwe na uwezo kama wako? Na bei kiboko kwako kuna wanaona kama bure, basi ukifika hapo ndipo utakapojuwa kuwa kila mmoja ana saizi yake. Lakini hilo nililolisema liko hivyo hizi suti za bei chee na za mafungu tutakaovaa basi tutazivaa ma malebo kwani kuiondowa ni kuichana hiyo suti!
 
Ahh, hizo suti za kuwa zimeshonelewa permanent, zitakuwa kwa ajili ya Watanzania tu basi 🙂

Nchi za nje wakati ninaishi huko, sikuwahi kuona suti ikiwa imeshonelewa kiasi kwamba huwezi kuondoa label yake, labda iwe ni ndani ya Suti. Pia mara nyigi mimi nilikuwa nashona kwa vipimo. Yaani unaenda kwa fundi cherehani na kitambaa chako na kushonewa kulingana na vipimo vyako vya mwili.

Watu wa West Africa ukianzia na Congo (Francophones) ni wagonjwa sana wa kuvaa na ndiyo maana huu wimbo wa Sekouba Bambino Diabate uitwao Kasouma-ma ulipata umaarufu sana ambapo jamaa anatamba kashona SUTI lake kwa kupimwa yaani kwa lugha ya Malinke(Bambara ) wanasema Kasoumama.
Nakushauri uwe unashona mwenyewe kwa vipimo (KASOUMAMA) na unamwambia Fundi asikuwekee hizo Label nje ya suti.

Yaani unazungumzia zamani. Mbona mimi ninazungumzia ya karibuni hata miezi mitatu haijapita na kwa taarifa yako sijanunua na wala sivai hiyo suti Tanzania. Cha kukuongezea ni kuwa siko Africa kabisa,

Kinachoonyesha bado unafikiri suti zito identical na hazibadiliki.

Hivi sasa ili uwe mvaaji wa suti unalazimika kuwa na namna mbali mbali za suti kwani mabadiliko yanakuja kwa vipindi. Mfano kipindi vcha miaka mitatu nyuma suti ikitawala ya vifungo viwili na baada ya muda ikawa ya vitatu na hivi sasa imerejea vifungo viwili.
 
Last edited by a moderator:
Tailored suits are the best. Hata hivyo suti nyingi ukinunua madukani unaenda nyuma ya duka halafu wanai-tailor.
Suti ikiwa imemalizwa kila kitu huwa si ya quality nzuri na mara nyingi pia huwa ipo labeled.
Hiyo suit hapo haijatulia. Ipo ipo tu.
Kocha wa zamani wa miami heat, Pat Riley (versace), Vladmir Putin na JK kwa bongo huwa wanapiga suti za maana.
Big fan wa suits.
 
Mkuu,
Tunatia aibu wakati mwingine jamani. Umeshawahi kuwaona hata hao Matajiri wakubwa duniani, Mawaziri, Mabalozi, Marais nk ambao wanavaa suti za bei kali sana wakiwa na hizo label?
Kwanini tusikumbushane na kusaidiana kuficha aibu zetu? Sasa hapo kama wapo Wakenya, si watatucheka sana?

Nashukuru jamaa yetu wa Msata kwa kweli kwenye kuvaa, wamemzunguka watu wazuri sana maana vinginevyo, siku moja angelitoka yupo na Malkia au Obama akiwa kavaa suti yake yenye Label.
Hivi unaiona suti ya Nyalandu hapo? Unauona huo uzi wake ulivyo wa bei mbaya? Hilo ni SILK ambayo faida yake kubwa ni kuwa: Inapumua na hivyo haina joto sana, nyepesi, haishiki uchafu haraka, haikunjiki ingawa kufua ni dry cleaner only.

Kwanini mtu aone aibu kwa kitu alichonunua mwenyewe? Hivyo unaacha kuwasema wanaovaa nguo zisizo na staha unashughulika na mtu alievaa lebo eti tu wewe hujaona. Inakuhusu nini hasa mtu na anachovaa, kwani kuvaaa suti ya gharama ndio unakufanya uwe binaadamu bora?

Wakati mwengine tabia nyengine si za kawaida yaani kumuona mwenzako mjinga wakati yeye mwenyewe ameridhika na kitu! Ni jambo la kushangaza sana.
 
Ngekewa,
Labda jamaa ametumia lugha kali ila, kuvaa suti sometimes ni kama sub-culture ambayo jinsi unavyovaa inaonyesha mambo mengi.
Mfano Chavez na Ahmedinajad huwa wanavaa bila tie kuonyesha utofauti wao na western capitalists.
Wengine wanavaa zikiwa na suruali baggy na makoti marefu, wengi wao ni waafrica na wamarekani weusi kuonyesha urban culture (mostly pimps/comics).
Butterfly necktie ... Nation of Islam, au in western cultures kwenye ballrooms.
etc.... suti inaonyesha personality yako.
 
Ulishawahi kununua moja kama hiyo? Mimi nilinunua na kufanya ujinga wa kuiondoa nilijuta kwani hiyo imeshonewa hasa hivyo unaweza ukaichana suti! Kwa kawaida kitu kinachotakiwa kuondoshwa basi huekewa uzi mwepesi na sio kushonewa.

Inabidi wakati mwengine ufuate mitindo hata kama unahisi kidharau!

inatakiwa iondoke. Angalien kwenye fashion. Na hasa huko kwenye asili ya suti. Aisee huwa nachukia sana INATIA AIBU.
 
suti za bei chee au za mafungu ndo hushonewa lebo. Mie sijawai ona hio kitu

suti za mafungu tena bongo hiyooo. Suti ya Hugo Boss ina label Gucci na zile za majina makubwa. Acha nasuti za china. Kama alivyosema huyo hapo juu orginal suti haikunjamani
 
Mie sijamcheka mtu. Nimesema tujikumbushe kuondoa hizo Label, basi.

Sasa wewe kama unataka kuacha hizo Label hadi zile za kwenye kofia wewe endelea na kila la kheri.

Acha kuwadanganya Jamaa zetu wengine wakaja kuwa wanaaibika kama sijui kiongozi gani alishatokea akiwa kachomekea SUTI yake swafi kabisa. Nayo utasema tumwache maana alijiona kapendeza. Label zinakuwa ndani.

5174463024_f82377bfc7.jpg

Yaani unazungumzia zamani. Mbona mimi ninazungumzia ya karibuni hata miezi mitatu haijapita na kwa taarifa yako sijanunua na wala sivai hiyo suti Tanzania. Cha kukuongezea ni kuwa siko Africa kabisa,

Kinachoonyesha bado unafikiri suti zito identical na hazibadiliki.

Hivi sasa ili uwe mvaaji wa suti unalazimika kuwa na namna mbali mbali za suti kwani mabadiliko yanakuja kwa vipindi. Mfano kipindi vcha miaka mitatu nyuma suti ikitawala ya vifungo viwili na baada ya muda ikawa ya vitatu na hivi sasa imerejea vifungo viwili.

Kwanini mtu aone aibu kwa kitu alichonunua mwenyewe? Hivyo unaacha kuwasema wanaovaa nguo zisizo na staha unashughulika na mtu alievaa lebo eti tu wewe hujaona. Inakuhusu nini hasa mtu na anachovaa, kwani kuvaaa suti ya gharama ndio unakufanya uwe binaadamu bora?

Wakati mwengine tabia nyengine si za kawaida yaani kumuona mwenzako mjinga wakati yeye mwenyewe ameridhika na kitu! Ni jambo la kushangaza sana.
 
Ulimbukeni tu yani wabongo tuna kazi sana, kujionesha onesha uko juu eti suti ya dukani...mwingine utasikia nimesoma sana..bank nina milioni 600.. Who cares? We vaa suti ya 300k mi navaa ya 20k sawa tu. Nchi za wenzetu vitu ka hivyo sio prestige kabisa, eti suti ama pesa; np one cares we vaa ama usivae NO ONE DARES TO STARE ON YOU

Ondoeni label hizo
 
Back
Top Bottom