Asante kwa taarifa swahiba. Undugu ni kusaidiana kama hiviBabu Asprin siku hizi ana makengeza hata akiona atajua ni Joanah na Sanchez magoli wameselfika
Maendeleo hayana chama
Tuendelee kuombeana. Tuchape kazi, tusitishane.Shkamooo bibi
Eti nasikia babu Asprin amegundua tiba ya korona ni K-vant?
Nasikia wazungu wanataka kumuingiza kwenye rekodi ya ginez kwa ugunduzi wake wa tiba ya ugonjwa unaowanyima usingizi.
Maendeleo hayana chama
Once upon a time there was mkwere and now someone called Meko!
Hakika mkuuWakati si milele
Jr[emoji769]