Mr Rocky huku vita zaendelea dhidi ya wanaume na wanawake, au wote hawakuona ule uzi wako?
Kwanini tuact tuko single? Wanajua tuna wake na wengine wanawajua mpaka wake zetu lakini wanatupa gem kama kawaida. Tena kwa taarifa yako wanasema mme wa mtu mtamu sana
Ehe makubwa haya, vp mkeo mchungu? Ama mke wa mtu mchungu ila mume wa mtu mtamu? Acheni kulumbana imetosha Asprin ebu wekeni ukweli halisi wa mambo ulivyo kwa wanaume na kwa nini hizo tabia nadhani ndio hasa PesaNdogo anataka kujua ama kwa kiasi kikubwa anakuta ni hivyo japo pia wapo wanawake magubegube hayabadiliki kamwe na wameolewa na watoto ukute wote si wa mumewe ila ratio nadhani inazidi upande wa wanaume kuliko wanawake. Mseme tatizo ni nini hadimwatoka nje ya ndoa zenu ama kuwa maplayer. je ni majambozi hatujui? Mtueleze turudi kwa makungwi wetu ili tuzidishe maujuzi kwenu mtulie na kutupenda kama hao wa nje.
Kama hatuko smart tueleze tuchange our style na unaweza shauri the best you want then mke nae akacheck kama yamfit au la maana haya mabo yanaendana na body ya mtu. Kama tuna maumbo mabaya hapo itakuwa ngumu tena maana hayo ni mapenzi ya Mungu japo mchina anakarati but hiyo riskyyake can cost life.
Otherwise basi muwe makini kuchagua the best unayehisi anfit mahitaji yako to death.
To be a player si sifa nzuri na UKIMWI bado upo kwa sana tu na ni rahisi sana kusahau kinga unapokolea ama binti akiwa mzuri mno. So hata wewe fikiria pande zote, tufanye anasa ila tukumbuke yawezekana Mungu yupo so tukumbuke kupunguza uovu au la kama hayupo basi walau tujikinge na magonjwa na ya dunia pia. Hakuna cha kupoteza kuwa wema walau kidogo.
Samahani kama nimemkwaza yeyote humu ndani.

waache wapambane aise maana kuna thread nyingine inabidi unyamaze kimya tuu House Wife
sasa IPO wapi tofauti ya binadamu na wanyama ka mbwa,kuku, ng'ombe.Haijawahi kutokea mwanaume akaridhika kwa mwanamke mmoja. Hiyo ni necha tu. Huwezi kuigeuza. Hata majogoo na mabeberu si mnayaona?
Wanawake mnapaswa mlitambue hilo. Huwezi pingana na necha. Tunachofanya sisi wastaarabu ni kuwa tunapoenda kuwahudumia wanawake wenzenu tunafanya kwa siri msijue.
Hata mturidhishe vipi, mwanaume hachoki kutamani. Kubalianeni na hilo mtaishi kwa amani.
sasa IPO wapi tofauti ya binadamu na wanyama ka mbwa,kuku, ng'ombe.
Hivyo vitu vipo ila mnawadhalilisha wake zenu hasa wenye tabia ya kuwa na mahusiano mengi mpaka na mahouse girl
Hebu muweke binti uliyemzaa nafasi uliyomuwwka mkeo kwa tabia zako. Ungevumilia binti yako achezewe hivyo?
ila waweza toa msaada na kuwakumbusha hatutaki vita ila kusaidiana na kujenga ili kuboresha jamii, mahusiano yetu katika maisha halisi tunayoishi. Jf yaweza kuwa chachu ya mabadiliko huko nje kama ulivyosema Mr Rocky
anayechezewa ni mkeo hapo, yeye ulimuoa na kuahidi uaminifu n.k halafu unalala na house girl wenu na Shoga zake na una mahusiano mengine kibao hicho ndo nlicho ongeleaHii dhana ya kuchezewa ndo siielewagi. Kumchezea ndio nini. Kakubali kwa hiari yake. Tena unamwambia kabisa una mke lakini anakupa tu. Anakupa na mbinu mfanye nini mkeo asijue. Akiwd na ny.ege zake ye mwenyewe anakuita ukamhudumie. Ukimzuga huna hela ye anakwambia anazo. Ndo kumchezea huko? Utamchezeaje mtu mwenye hamu yake?
Acheni kuwa selfish, kuna wanawake kibao hawana wanaume na wao wanahitaji huduma zetu.
NB. Linapokuja swala la necha hakuna tofauti ya mnyama na binadamu. Wote tunakula, tunakunywa, tunakuny.a na tunajamiana. Samesame.
Asprin nlicho ongelea ni madhara ya kudate na kuolewa na mtu mwenye tabia ovu. Ile ni mifano hai nlioiona. Sina nia ya kumhukumu mtu wala kubishana tu.
Inaonekana unapenda sana mambo ya mitandao ya ngono. Mi lengo langu lilikuwa upande wa wanawake tu, so huyo anayekupa game anafanya at her own risk.
Hao wanaotembea na wanawake vichaa wana matatizo. Pointi yangu ni kuwa mke ni mke tu. Nafasi ya mke ni ya juu sana hailinganishwi na hawara hata siku moja. Ujue player akiwa na hawara sehemu halafu apigiwe simu na mkewe, huchanganyikiwa. Wanawake wengi wanajua waume zao ni players ila wanawatimizia haja zao na kuwapenda kwa kweli na kuwaheshimu. Kwa hali ya sasa, mwanaume kutokuwa player ni ngumu sana kwani wadada wamekuwa wakijirahisisha sana. Haichukui msuli hata uwe uso wa mbuzi vipi, hawa dotcom ni kama wamesomea kutongoza wanaume.
Nami ndo nakuuliza unataka uolewe na Yesu? Mwanaume mwaminifu sijawahi kumwona. Labda azaliwe kesho. Usisahau mi ni mwanaume mwenye marafiki, majirani, workmates kibao. Wote letu moja. Kudumisha mila.