Ona Picha hizi za Torture

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,485
86,001

Tunaelekea Uchanguzi Mkuu, lengo la kuweka picha hizi si kuwatisha bali nikuwakumbusha tuchague kwa busara hasa tukiongozwa na MUNGU alietupa akili na utashi ili kututofautisha na viume wengine.

Maombi yangu kwa MUNGU, NEC na Wagombea pamoja na washabiki, watusaidie haya yasijetokea hapa kwetu, hawa haikuwa dini wala Ukabila kama inavyochagizwa na baadhi yetu hawa ni hali ngumu ya maisha na uroho wa madaraka wa wachache.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Last edited by a moderator:
Tuzungumzie mambo ya nyumbani kwetu kwa sasa, ya jirani yatatutisha na kutubabaisha!
Chagua Slaa.
 
Busara tunajua itatumiwa na wapiga kura. Wasiwasi wangu ni kuwa CCM inaweza kushindwa kuwa na busara ikajaribu kuvuruga uchaguzi. hapo ndipo wananchi wataonesha nguvu zao. Pepples ....... Power
 
Last edited by a moderator:
Tuzungumzie mambo ya nyumbani kwetu kwa sasa, ya jirani yatatutisha na kutubabaisha!
Chagua Slaa.

Asante sana, ila pia ni vema tuangalie mifano kwa wenzetu, lengo ilikuwa ni kuonyesha kuwa haya hayakua matokeo ya UDINI wala UKABILA kama CCM wanavyotudanganya
 
ssa hii ya nini na wewe kuweka hapa??aghhhhhh

Kwamba hawa hawakufanyiana hivi kutokana na UDINI wala UKABILA bali uroho wa madaraka wa walioko madarakani, hope umenipata mpwa
 
Tunaelekea Uchanguzi Mkuu, lengo la kuweka picha hizi si kuwatisha bali nikuwakumbusha tuchague kwa busara hasa tukiongozwa na MUNGU alietupa akili na utashi ili kututofautisha na viume wengine.

Maombi yangu kwa MUNGU, NEC na Wagombea pamoja na washabiki, watusaidie haya yasijetokea hapa kwetu, hawa haikuwa dini wala Ukabila kama inavyochagizwa na baadhi yetu hawa ni hali ngumu ya maisha na uroho wa madaraka wa wachache.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

No say.

Change is a must.

Vote for Dr. Slaa
 
Last edited by a moderator:
Mambo haya nilidhani hayatakuja kuitokea Tanzania, maskini Tanzania weee
 
Back
Top Bottom