Jamani binti yangu mdogo kasikia tangazo la ulevi noma sasa akaniuliza eti baba wale kina dada wanaosema ona macho yalivyowatoka kama mbwa anasubiri mizoga, walikuwa wanasubiri tulewe a wapi hawapati kitu hapa. Swali kwani walitaka wapate kitu gani? NIlimwambia subiri niende kazini nikirudi nikumbushe, sasa akinikumbusha nimjibu nini hapa nipo kwenye foleni kuelekea nyumbani.