Mtoto mzuri huyu
huyo uwoya bhana,sijui kwanini alitoswa na ndikumana,au ye ndo kamtosa jamaa?Huyu atakuwa SHOGA maana hivyo viatu na Kofia, vimekaa kama anajiandaa kwenda Berlin kwenye LOVE PARADE.
Ila kwa wanaopenda GUU la Nguvu, basi hilo Zigo LINATUFAA SANA sisi na Sheick wetu mpenda NEEMA za Allah.
mbona unaguna Honey Faith?mhhhh!!
Kizuri hutunzwa ndio kinaitwa kizuri lakini kisipotunzwa hakiwi kizuri tena, maana hata sukari usipoitunza sisimizi watazagaa na kuiondoa thamani yake
Hahahaha sikuwezi kiumbe wewe.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
miguu haina hata alama