Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,941
- 6,856
Akufukuzae hakuambii toka! Sasa wanapoweka maneno kama haya 'quintecensce of status quo' sisi tuliokimbia umande tubaki tukitafuta nini? Halafu Masanilo anataka nitafsiri? Hanitakii mema.
Sio siri, Nyani. Nisingekimbia umande angalau ningekuwa mhandisi. Huu ufundi mchundo ni baada ya kusota sana kwenye 'grade test'!
Haya wasomi, kazi kwenu. Ingilishi ndiyo hiyo. Na msijisumbue kujibu kwa kiswahili kwa kutuonea huruma wengine. Mwageni hicho kimombo bila wasiwasi wowote! Ndiyo faida ya skuli!
Amandla.......