On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

AMANI YA KWELI ITAPATIKANA IKIWA SERIKALI ITAPUNGUZA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA. Ukosefu wa ajira unachangia sana kuwafanya watu wahangaike na kuwa wanyonge katika nchi yao. Kama serikali ikifanikiwa kuwa na group la working class kubwa basi utakuta group la watu wapendao mabo ya kisiasa linapungua.

Katika nchi ya marekani kuna idadi ya watu milion 900 lakini wale ambao hujiingiza na mabo ya siasa ni asilimi ishirini tuu. utakuta mikutano ya hadhara inajza sana watu hata wakifanya mikutano hiyo saa nne asubuhi kwa sababu idadi hiyo ya watu ni ile ya watu wasio na ajira. Hao wansiasa badala ya kusikitika kuwa idadi ya wasikilizaji ni kubwa kwa sababu ya kuwa hawana kazi wao hufurahia wingi wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…