donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
Dodoma 2 tu unaoga ungekuwa unaenda nchi za mbele je?
Mwenzako ana mkataba na jf kuanzisha thread kila siku
Dodoma 2 tu unaoga ungekuwa unaenda nchi za mbele je?
Dodoma 2 tu unaoga ungekuwa unaenda nchi za mbele je?
Safar njm,karib sana Chako ni Chako ujipatie kuku makange,ndz choma bla kusahau kitimoto rost.
Dah! usijeondoka bila kupga picha Nyerere square!!!
Mwenzako ana mkataba na jf kuanzisha thread kila siku
Karibu sna mkuu
Salaam wakuu,
Niko ndani ya shabiby line hapa ubungo ready for departure kuelekea Dom kidogo. Nimepata na vinovo viwili vipya hapa Dedicated Man na The One From The Other, ni burudani tu wakuu. Baadae, niombeeni nisafiri salama!
Shukrani mkuu, see you when I get there!