Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
shaurilo, mwenzako kwenda kwa mke "halali" we wa mjini tu....! Nitafute nakwambia..
hahahahaa mwache aende hapa ndo breki lol
shaurilo, mwenzako kwenda kwa mke "halali" we wa mjini tu....! Nitafute nakwambia..
hahahahaa mwache aende hapa ndo breki lol
Miss neddy, acha huko njoo huku, mi nshasubiri sana na hata kwenye kile kitabu cha foleni ukiangalia nimo. Njoo huku uchonge mzinga kabisa!
hahahahahhaa uko uwanja wa vita hapa mura akirudi mi simoo
Mura kesha sahau sijui hata km atarudi. Jana nirimuona na Faiza anasindikizwa bado akifika kuree ana wake watatu. We njoo bana mi ntajificha uvunguni akikohoa!
hahahaha hujitaki
Pole sana mkuu! Safari ndefu mpaka unachoka! Tukua hotel pumzika kwanza, najua lazima utakuwa na mwenyeji ILA usiku ni mwingi muda huu.
miss you sweetheart..
spade4spade ntamkwangua muda si mrefu.. mwache ajilete kenye kona tu!
asante sana mpenzi! nakumiss sana ujue mamii!
Niko mwanza kwa sasa! soon naenda usukumani kwa mabinti wa kinyantuzu! lol..
ngoja nim-blacklist huyu mjamaa! he seems to like ngeu on his forehead!
Eeeeh bwana, unataka kunitumbukiza kwny shimo nini. Basi bhana mi sitaki tena hizi mbichi. Kwanza mi nilishawishiwa tu na kan'tangaze hata sikuhitaji. Usin'toe ngeu bhana!