on my way home ....

on my way home ....

Mkuu kwani mapema sana au nimechelewa?
Ni public transport, magari ya mwanza dar tunaanza kukutana nayo! (from 2pm)
Singida saa nane hii.... Private car ama public transport (basi gani.?)
 
Mkuu kwani mapema sana au nimechelewa?
Ni public transport, magari ya mwanza dar tunaanza kukutana nayo! (from 2pm)

Sio kuchelewa mkuu, ila saa nane Singida kwa basi kutoka Dar......Hapana mmewahi sana. Dodoma mmeingia saa ngapi?
 
Excel nakutakia safari njema kaka, nami muda huu Niko njiani naelekea dodoma...
 
Last edited by a moderator:
miss neddy umemwacha na nani?? I wanna take ova..!
 
Last edited by a moderator:
Chezea mura weye....hapo amesema anaenda wapi

aaah, haniwezi mie..!!
tatizo ni moja tu, Khantwe hunitaki..aaah!!
..hivi wataka nikuanzishie lisred eeeh!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo naingia nyegezi!
Boring journey!
 
Ndo naingia nyegezi!
Boring journey!

Pole sana mkuu! Safari ndefu mpaka unachoka! Tukua hotel pumzika kwanza, najua lazima utakuwa na mwenyeji ILA usiku ni mwingi muda huu.
 
aaah, haniwezi mie..!!
tatizo ni moja tu, Khantwe hunitaki..aaah!!
..hivi wataka nikuanzishie lisred eeeh!!

Nianzishie bhana.....bichwa litafutukaje?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom