safari njema jamaa yangu, niache mjini na kan'tangaze wangu..
Mzma ndugu??
Safari njema rafiki Excel
Mmh.na nani??mimi?????
acha kuvunga basi
Aaaaaghkaaaa.nvungie nn mm jamanii
Hivi bado unaendelea nae?Tutakumwagia tindikali sisi hatuna mchezo kabisaa.Ngoja kwanza niwashirikishe ndugu zangu
Ukirudi uje na sangara nitakurejeshea pesa mkuu!!
kwani tarime kuna sangara jamani si wakurya kule
No anapitia mwanza atazichukuwa pale!
Asanteni sana wadau kwa best journey wishes.. Nimeingia singida sasa...
But hm! Lile gari la moro best limenitisha! Nimeliona live lilivyopata ajali...
Cc kan'tangaze, ladyfurahia, Kibo10, kiwatengu, Khantwe and all all
Asanteni sana wadau kwa best journey wishes.. Nimeingia singida sasa...
Alafu l