On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!


wewe ndio mvivu wa kufikiri! Magufuli sio ccm bali yeye ni waziri wa serikali ya JMT! Kwa maana hiyo unataka kuniambia kuwa Nape yupo sahihi kuwaamrisha watumishi wa umma ???
 
Acha ushambenga wewe LE MUTUZ, Mbona RAIS kikwete aliwahi kusema kuwa anamsapoti Obama na haikuwa ISSUE?
 
Umeamua kukaa 'uchi'adharani mkuu!!!!!??

huyo jamaa haelewi chochote Magufuli ni waziri wetu na si vinginevyo! Hata akipigwa picha yuko beach na vimwana itasomeka waziri magufuli avinjari na vimwana beach!
Kwa taarifa yako Raila Odinga alikuwa miongoni mwa wafadhili wa CHADEMA 2010 na ndio maana makao makuu ya chadema yalihamia kenya kwa usalama zaidi baada ya watu wa UT kuwasumbua mara kwa mara pale dsm!
 
kweli kuna watu na viatuuu hivii wewe umesomaaa vizuriii na kuelewaa wenjee kaongeaa nini badoo mnataka amaniii kuwa makini c kila kituu kubishaa acha kutumwa utashindwa kutunzaa hata familia yako nakuonea hurumaa fikirii kabla ya kutumwaaaaa helaa unazopewaaa zita waangamiza ndugu na jamaa zako kakaa tumiaa kichwa na akili zakoo ulizopewa na mwenyeziii munguuuu
 
Tatizo hapa ni IQ ya magufuli. Amekuwa akisikia akitoa kauli za hovyo hovyo kama vile kutaka JK a'double' safari za kutembeza bakuli, nk. Kwa kifupi ni mropokaji na mkurupukaji.


Usimulaumu sana maana naona kama ndo mtindo wa CCM. Kila wakati wamekuwa na mtindo wa kualika viongozi wa nchi ktk chama chao. Wanadhani ni gesture kuonyesha kwamba wanaaminika nje ya nchi sasa safari hii sijui itakuweje maana siasa za hapo Kenya ziko pabaya.

Usije ambiwa alitumwa na Mkiti kukiwakilisha chama!
 
field marshal Ninavyofahamu mimi Magufuli na Odinga ni marafiki; na hakukuwa na ubaya wowote kwa rafiki kumualika rafiki; na ndiyo sababu Magufuli alitambulishwa kama Magufuli na sio mwakilishi wa CCM au serikali ya Tanzania; hata kama angekwenda kumuakilisha mwenyekiti CCM wa bado hakuna ubaya wowote CCM ina vyama rafiki kila kona ya dunia; ikiwa kama tumechagua ODM ndiyo kiwe chama rafiki kwa Kenya huo ni utashi wetu; hao Chadema si wanakwenda Ujerumani wakidai ni chama rafiki kama sikosei social democrat inakuwaje leo hii wahoji urafiki wa CCM na ODM?

Chama
Gongo la mboto DSM
Safarini Monga Vyeru
 
Last edited by a moderator:

- Kamanda ninakupata, ila kuondoa wasi wasi ni muhimu kuweka wazi nani amelipia safari yake!, Chadema ni sideliners hawana uwajibikaji kama sisi watawala, iwekwe wazi Mgufuli alikwenda kama nani kule na nani amelipia safari yake ni muhimu sana hili kujibiwa!!

Es!
 
Acha ushambenga wewe LE MUTUZ, Mbona RAIS kikwete aliwahi kusema kuwa anamsapoti Obama na haikuwa ISSUE?

- Great Thinker next time soma mada kwana uielewe inasema nini, who cares nani anamsupport nani, the question here ni Magufuli amekwenda kule kama nani na safari yake imelipiwa na nani? Je Serikali na CCM walijua when kama anakwenda kule? FULL STOP!

ES!
 

Chadema wanaelewa yote wanakimbia masaibu yanayokikabili chama chao wanatafuta udaku tu!

Chama
mapumzikoni Monga Vyeru
 
Makundi yenu ya kugombea Urais yatakusumbuwa sana, najuwa thread hii madhumuni yake ni nini, utafanikiwa kuwaingiza mkenge baadhi ya Members humu kumbe umepata weakest link ya kumshambulia Magufuli kwa manufaa ya kundi lenu na Nape Nnauye lakini hauhoji ili kwa interest za Watanzania.
 


Chadema wanaelewa yote wanakimbia masaibu yanayokikabili chama chao wanatafuta udaku tu!

Chama
mapumzikoni Monga Vyeru
Magamba at work. vita za makundi ndio hizi, nawaacha wafu wazikane wenyewe.
 
Hawa jamaa zangu hawataki kuambiwa ukweli wamezoea kusifiwa hata pale ambapo hawastahili kufanyiwa hivyo. Nadhani wanafikiri kama alivyosema Dr.
 
Hata kama ni mwana CCM , katika hili Magufuli ameteleza big time.

Kudandia treni la Foreign Policy kwa mbele, precedence yake si nzuri kabisa kwa nchi yetu.
Siasa za Kenya hazina misimamo inoeleweka na ndio maana hata JK alifanya vizuri na aliruka pale Kenyatta alipokuja kuomba msaada wa kutambulika.
Tanzania itafanya kazi na mtu yeyote WAKENYA watakaye mchagua.
FULL STOP.
 
CDM pointless no hoja,kila ktu mnaongea tu kenge plus vbaraka wetu ninyi mkuu wenu pia ana kadi ye2 mtajiju hata mkiponda hamna jpya
 

kinacho nishangaza kwa Mhe hv na huko Kenya kuna barabara za Tanzania za kutengeneza au ulifuata wakandalasi ? tangu lini Mhandisi akawa mwanasiasa?unatutia aibu sana.
 
kinacho nishangaza kwa Mhe hv na huko Kenya kuna barabara za Tanzania za kutengeneza au ulifuata wakandalasi ? tangu lini Mhandisi akawa mwanasiasa?unatutia aibu sana.
Haya ndiyo matatizo ya udaku hamjui mnachosema mpaka mnapoteza maana ya mada; ukigombea ubunge au nafasi yoyote ya kichama wewe tayari ni mwanasiasa sijui kama unaelewa nini unachosema!

Chama
Monga Vyeru


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Magamba at work. vita za makundi ndio hizi, nawaacha wafu wazikane wenyewe.
Mkuu Matola
Chama hana kundi ni mwanaccm tu vipi mtaani kwako mambo shwari?

Chama
Monga Vyeru


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…