On bed kuna wanaume wa aina nne


teh teh teh, nimecheka ushauri aliokupa, usikute ndo ilikuwa dawa haswa
 
Kwani wanamtaka mwenye uwezo huo?
Kama wanamhitaji waambie wanajua cha kufanya .....lol!!!!

Hapana mkuu (hapo kwa red)
Soma comments zao za jana (nadhani page 7 na 8) ndo utaelewa walichosema
 

Wapo wa kundi namba moja ambao hugeuka kuwa kundi namba mbili, tatu na nne kutegemeana wapo na mwanamke wa aina gani. Kwa mfano, mke aliyekuchosha au wale wanaume waliozoea kupewa tigo lakini hawapewi, na pia wale wanaume ambao wana sehemu zao ambazo wakishikwa au yakitokea mautundu fulani, wanaamka lakini kwa vile hawashikwi na hawawezi kuomba hilo, performance inasua sua;
 

Mmmh, kuangukia kundi la nne sababu ya mke aliyekuchosha!!! loh!
 
bestito hapitwe tena huyu babu na wakati yeye ni mtalaamu wa miti shamba
na isitoshe yeye hadi kapitiliza yaani yeye masaa yote anataka awe in bed
sasa sijui kazi hatazifanyaje kwa masaa yaziada?
huuuuuuuuuuuuuuuuuh hupitwi kwenye hizi mambo.
 
Nimefuatilia huu uzi tangu mwanzo hadi mwisho, nimegundua jambo moja tu "wanawake wa jamii forum mko juu katika sanaa ya ngono" mnq experience iliyovuka viwango. Nashauri anzisheni shule ya kufundisha masuala ya kungonoana, manake hakuna sehemu ambayo hamjawahi fanyia, kitandani, jikoni, kwenye coach, majini, ktk gari, juu ya miti, etc etc etc. Da kaazi kweli kweli.
 

^^
ha ha haa nimeishia kucheka tu.
^^
 

Duh!!! Nimejikuta namwonea wivu mmeo.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh, nimecheka ushauri aliokupa, usikute ndo ilikuwa dawa haswa

Mkuu hebu nambie, hii research uliifanya live? Naomba uje unifanyie na mimi ili nijijue, kama hutajali na kama tu, narudia kama tu jinsia yako ni jinsia pendwa ya KE.
 
Mkuu hebu nambie, hii research uliifanya live? Naomba uje unifanyie na mimi ili nijijue, kama hutajali na kama tu, narudia kama tu jinsia yako ni jinsia pendwa ya KE.

Teh teh we Asprin inamaana una mashaka na results za research yangu?? kwani haina ukweli mkuu au na wewe umekosa kundi lako kama Bujibuji
 
Last edited by a moderator:

umeona eehe!!!
 
wanadai kila siku inaboa bana!
hebu ngoja tuwaulize kina dada wa humu, Heaven on Earth, Mkunde Original na wengineo njooni pande hii msaidie Himidini

It depends na mtu na mtu, mkikutana ke na me wote ni 4*4*far aaah mwendo mdundo kitu telekma tukaze. Kama kulima mnalima wote kuvuna manavuna wote na kula mnakula wote, sambamba yaani hapo ni daily service never miss except za ugonjwa, kulala msibani, ukiwa juani (on moon). Kwa watu wa aina hiyo hata mkigombana mnananilihiana kisha mnuno ugomvi unaendelea kama kawaida heheheheeeeeee
Ila ukikuta ke na me wote urojo akuuu wakibonyezana jumatatu ndo hadi ijumaa kizeeenjiiii bonyeeeeeee yaani wanafanya kama uterezi pruuuuuu mkapaka maka kisha wanapodondokea ndo hapo hapo hawainuki hadi siku 4 au 5 zipite. Pia wanajulikana kama mapenzi ya chatu yaani chatu akishakula msosi wake kuamka hapo hadi mwezi upite loooh

Sasa mkikutana mke wa urojo halafu mume ni 4*4*far lazima pavumbike heheee
 

asante Mkunde Original, hapa na mimi nimejifunza kitu aisee! ngoja nimwite Himidini naye aje asome mauzoefu yako
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…