On bed kuna wanaume wa aina nne

On bed kuna wanaume wa aina nne

Mambo ya kujitakia
tuuuu hayo; kuna kijipunje ukikimeza mpingo unainuka degree tisini hadi
kesho kutwa hata ukienda kulala wenyewe unachoma wingu hata demu
angekuwa na kiranga vipi lazima akimbilie mvunguni kudadadek

Pole we,ndio nyie kundi na 4
 
makundi yako mengi mno ya wanaume..

wapo wengine ambao hawana interest kabisa na ngono though wako kwenye ndoa!

wao kufanya tendo na mkewe mara moja kwa mwaka haoni shida..
 
Umeonaeeeh!Inamaana kund Na 3 na 4 halina wahusika humu?

Bishuu wapo humu ukitaka kuamini angalia m2 akipost jins ya kuongeza nguvu za ki.....utawaona mbiooo!aafu leo mi number one(kwa sauti ya kubana pua)
 
Last edited by a moderator:
heheheee naomba niwe tofauti na nyie cjaona inayotuhusu hapo
 
hahaha dah mkuu umenikumbusha kitu...
kuna siku niliugua homa usiku..wife baada ya kunipa dawa..akaniambia ka vp nile mzigo labda itapungua..nikasema fresh
asubuhii nilivyopata nafuu alicheka kwelii na kuniambia #yani likija trni linalobeba wala mizigo katika hali yoyote..atanipandisha
 
Naturally, kuna wanaume wa aina nne kutegemea na uwezo wao kingono:
1.Kundi la kwanza ni wale ambao wana uwezo mkubwa wa tendo la ndoa, yaani kwao erection is not an issue at all. Ukiolewa na mwanaume wa jinsi hii, jishike kweli kweli maana ni mwendo mdundo. Wanapenda mchezo kila siku, kila wakati hadi sometimes mwanamke anaona kero!

Nadhani nahusika hapa ......lol!!
 
makundi yako mengi mno ya wanaume..

wapo wengine ambao hawana interest kabisa na ngono though wako kwenye ndoa!

wao kufanya tendo na mkewe mara moja kwa mwaka haoni shida..

Wewe kijana wa mwaloni

Hiyo aina nyingi?
 
hii ni.kwa.mujibu wako au vip

Yaaa, ni kwa mujibu wa utafiti wangu mwenyewe, but can be criticized kama baadhi ya wadau wanavyofanya ktk comments zao
 
Bishuu
wapo humu ukitaka kuamini angalia m2 akipost jins ya kuongeza nguvu za
ki.....utawaona mbiooo!aafu leo mi number one(kwa sauti ya kubana
pua)

Haa haa haaa kumbe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom