On bed kuna wanaume wa aina nne

Teh teh...
Ndio maana naipenda jf...
Member wote tupo fit, vbamia hamna, wabaya hamna, wasio na mapenz ya kwel hamna humu...

Eti vibamia asee,omba wasione kabisa,
Wabaya na wasio na mapenzi tumewafukia
 
Umewasahau hawa
 

Attachments

  • 1444190442972.jpg
    12.7 KB · Views: 458

Mmmhhhhhhhhhh makubwa
 
Mimi namjua jamaa mmoja alipewa na mmasai, sasa akawa haiyamini vile, si kapiga triple dose! daaah! anakwambia wakati wa hemu hakushuka kifuani mpaka na vidole vyote vikashindikana kukunjwa!!!!!!

Mkuu ile ya wamasai huwa wanakushauri kabisa ule vizuri na kushiba kabla ya kuitumia...huwa inaenda sambamba na supu ya makongoro.
 
mimi ningependa kujua mtoa mada wewe ni wakike au wakiume?? Mada kama hii ilipaswa kuandikwa na mwanamke tena mwenye uzoefu hasa katika ngono, mwanamke ambaye amefanya ngono na wanaume wa kila namna.
 
Wadhungu si mnawaona vinguo wanavyo vivaa, hawaioni sehemu maalum kwa mwanamke ambayo itamfanya asimamishe, hata kwasisi wabongo akina dada wameanza kuiga kuvaa vinguo vya kuonyesha maumbile yao hivyo wanaume weng tunaanza kuona kuwa ni kawaida na miili yetu haistuk sana. Wanawake ndio wanaosababisha wanaume weng kushndwa ku 'erect', nikianza kuzunguka zunguka mjini nakutana na matiti ya aina mbalimbali, mapaja ya aina mbalimbali, vitovu vya aina mbalimbali, migongo ya aina mbali mbali, chupi za rangi mbalimbali. Akina dada wanakuwa km wanatembea uchi kabisa, imefika mahali tumezoea na hatuon ki sehem ipi kwa mwanamke itaweza kunisisimua mpaka nisimamishe?. km hujaelewa nisamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…