On account of JF new phase 2010

On account of JF new phase 2010

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
86
Open www.jamiiforums.com

Fungua hilo MS word file, copy the javascript (moja baada ya nyingine). Kisha bonyeza F6, utapelekwa katika address bar na copy paste hiyo javascript; then click 'enter'...then wait and see!

Note: This is NOT a virus threat! Its just for fun! If you want to get off just close that browser!
 
Attachments

Sasa niiondoe vipi hii Kasheshe maana hakuna editing wala nini.
 
we tuwekee kinachotokea maana hata sielewi
 
Huyu jamaa, naona kaamua kutufanya midoli ya kuchezea!
 
Naanza kuiogopa Laptop yangu, nini sasa amefanya !!!!!!!! !1
 
Sasa niiondoe vipi hii Kasheshe maana hakuna editing wala nini.

we tuwekee kinachotokea maana hata sielewi

Mi simtaki huyo viruse!

Huyu jamaa, naona kaamua kutufanya midoli ya kuchezea!

Naanza kuiogopa Laptop yangu, nini sasa amefanya !!!!!!!! !1
Note: This is NOT a virus threat! Its just for fun! If you want to get off just close that browser!
 
Mimi naomba nisijaribu kabisaaa lol
 
wazimu
sasa ndo inasaidia nini?
ama inapunguza nini?

acha utundu wa nursery pape
 
Thankx pape you are forgiven
nilikuwa nimewehuka baada ya kuona page inaserebuka
 
Back
Top Bottom