Chachasteven
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 1,941
- 2,048
- Thread starter
- #41
Ndiyo maana haishauriwi kujudge makosa ya mtu kama haujavaa viatu vyake. Ommy anaweza akawa anamlaumu mshua, ila ukichimba kwa ndani sana unakuta Mama ndiyo alizingua. Sema mambo mengine huwa hayasemwi tu.Apige chini kabisa na jina la baba yake atumie la ujombani.
Ngoja aingie kwenye ndoa ndo ataelewa sometimes baba zetu wapo right.
