Enzi zile za primary wale waliokuwa na miandiko mizuri walipata soko sana kuwaandikia watu barua! Binafsi nibahatika kujua nani anamtaka nani, kwani nilikuwa na ka-mwandiko kazuri (siyo mchuno wala mkorogo).
na malipo ya kufanya hapahapa duniani mkuu........wengi tu now ni baba wa mabinti kadhaa hivi...basi malipizi ya yote waliyowafanyia watoto wa watu yatawapata watoto wao..(dah!hii inatisha na inauma kufikiri!!)