Muongo weweUko idara gani wewe?
Idara yetu watu wanapanda vyeo kila mwaka
Mkuu kwani Kuna mtu anacheka nowdys?Kama nyie wenye ajira mmeanza kulia je sisi majobless tutakuwa tupo kwenye hali gani?
Hata Mimi ni mhanga niliajiriwaga mwezi may 2014 mpaka leo nipo TGSD pamoja na loanboard wakaongeza makato Yao. Nilikwenda kujiendeleza MSc 2018 nimerudi hamna changes kabisa. Yaani tunaumia mno watumishiTayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020
Hawa wataenda Kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.
Wafanyakazi Hawa wamevumilia mengi ,
Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,
Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi...
Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!
Miaka sita mshahara ule ule?
Aloo wote tunatubuMkuu kwani Kuna mtu anacheka nowdys?
Hii inadhihirisha serikali ya CCM ni serikali katili mnoo.Tatizo lenu mkianza kupewa zile increament za kila Mwaka na nyongeza ya kila mwaka na Trade unions zenu zikipewa uhuru mnaanza kumkejeli Rais
Wenzenu wa miaka ile pamoja na yote waliyofanyiwa ilipofika 2010, walitangaza na kutekeleza kumkataa Rais wa Jamhuri kwny Sherehe zao za Mei mosi kwa maneno ya kejeli na kebehi kuwa hana anachowafanyia
Rais akitaka kuishi kwa amani na wafanyakazi wa Umma usicheke nao… awapeleke bampa to bampa
Siku hizi sherehe za Mei mosi hotuba zote ni kushuluru Serikal kwa kufukuza wenye vyeti feki hakuna kuongelea nyongeza za mishahara
Hii inadhihirisha serikali ya CCM ni serikali katili mnoo.
Ohh masikini ni nani huyu alimfunga jela dada wa watu kwa siku 133 kwa makosa yenye dhamana??Kama waliomfukuza Nusrat Hanje kwa kosa la kutolewa Mahabusu usiku na kufutiwa mashtaka