Ombi: Serikali pandisheni Madaraja watumishi wa Umma. Ni miaka sita sasa, tuwe na huruma

Hofu-less

JF-Expert Member
May 19, 2014
516
1,018
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
 
Vumilieni kidogo mpaka 2025. Serikali yetu "SIKIVU" haina hela kwa sasa hivi. Hela zote tulitumia kununua wabunge wa upinzani, kununua VX zaidi ya 61 za kijani, kulipa wanamuziki na kuasisi ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi 2020.

Hamuoni faraja kwa tuliofanya?

Kuweni wazalendo na muombe serikali ipunguze mishahara kwa wafanyakazi wa umma, ili ijenge SGR.
 
Sio kwa serikali hii, yaani utafikiri wamejileta duniani na wanafanya watakavyo, huwezi kukosa huruma kwa kuwafanyisha kazi miaka zaidi ya 7 nahuku mfumuko wa bei upo lakini mshahara toka 2015 haujaongezeka, pathetic
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda Kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi Hawa wamevumilia mengi ,
Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi...

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Hata Mimi ni mhanga niliajiriwaga mwezi may 2014 mpaka leo nipo TGSD pamoja na loanboard wakaongeza makato Yao. Nilikwenda kujiendeleza MSc 2018 nimerudi hamna changes kabisa. Yaani tunaumia mno watumishi
 
Tatizo lenu mkianza kupewa zile increament za kila Mwaka na nyongeza ya kila mwaka na Trade unions zenu zikipewa uhuru mnaanza kumkejeli Rais

Wenzenu wa miaka ile pamoja na yote waliyofanyiwa ilipofika 2010, walitangaza na kutekeleza kumkataa Rais wa Jamhuri kwny Sherehe zao za Mei mosi kwa maneno ya kejeli na kebehi kuwa hana anachowafanyia

Rais akitaka kuishi kwa amani na wafanyakazi wa Umma usicheke nao… awapeleke bampa to bampa

Siku hizi sherehe za Mei mosi hotuba zote ni kushuluru Serikal kwa kufukuza wenye vyeti feki, flyovers, Stigles gorge, Standare gauge n.k hakuna kuongelea nyongeza za mishahara
 
Tatizo lenu mkianza kupewa zile increament za kila Mwaka na nyongeza ya kila mwaka na Trade unions zenu zikipewa uhuru mnaanza kumkejeli Rais

Wenzenu wa miaka ile pamoja na yote waliyofanyiwa ilipofika 2010, walitangaza na kutekeleza kumkataa Rais wa Jamhuri kwny Sherehe zao za Mei mosi kwa maneno ya kejeli na kebehi kuwa hana anachowafanyia

Rais akitaka kuishi kwa amani na wafanyakazi wa Umma usicheke nao… awapeleke bampa to bampa

Siku hizi sherehe za Mei mosi hotuba zote ni kushuluru Serikal kwa kufukuza wenye vyeti feki hakuna kuongelea nyongeza za mishahara
Hii inadhihirisha serikali ya CCM ni serikali katili mnoo.
 
Kama waliomfukuza Nusrat Hanje kwa kosa la kutolewa Mahabusu usiku na kufutiwa mashtaka

Walitaka abaki gerezani ili waendelee ku post hashtag za 'Release Nusrat Hanje' huko tweeter wakati wakipanga orodha ya pisi za kuwa viti maalum

Hii inadhihirisha serikali ya CCM ni serikali katili mnoo.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom