Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020
Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.
Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,
Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.
Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!
Miaka sita mshahara ule ule?