Ombi: Serikali pandisheni Madaraja watumishi wa Umma. Ni miaka sita sasa, tuwe na huruma

Inawezekana maana polisi mwaka Jana/juzi walilipwa malimbikizo yao yote
Kwa maana hiyo, hii mada haina maana sio kwa sababu wewe hukula jana basi useme watu wa Kigoma tunalala njaa!

Sema mimi au sema mtaani kwetu maana wengine wamekula wakashiba na wakamwaga!
:D
 
Nyinyi kupanda vyeo hadi muende kozi
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Kama wewe ni mwalimu inamaana mwanafunzi uliyemfundisha form 5 mwaka 2014 ndio anaajiriwa sasa na kulipwa mshahara sawa na wewe.
Hahahaa!
 
Tena nyie walimu msiongee kabisa mmetuharibia uchaguzi, mkomae humo humo, bora nyie mmeajiriwa
 
Ajira za walimu magumashi,
madaraja magumashi,
kustaafu mafao magumashi.

Ualimu lini patatulia?
 
MITANO TENA
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
 
Tayari kuna ajira kadhaa zimetolewa kwa wafanyakazi wapya mwaka 2020

Hawa wataenda kuwa na mishahara sawa na Wale walioajiriwa mwaka 2014, Yaani miaka 6 iliyopita.

Wafanyakazi hawa wamevumilia mengi. Uhakiki n.k, Mpaka leo bado wamebakia na mishahara Ile Ile ya mwaka 2015,

Wakati mwingine tunajitafutia laana bila sababu za msingi.

Hebu tuwakumbuke hawa wafanyakazi jamani!

Miaka sita mshahara ule ule?
Wewe unalilia kupanda daraja wakati graduates wapo mtaani wanalilia kupata walau 15,000/= kwa siku
 
Kama Nusrat angetolewa kwa style aliyotolewa lakin akawa hayupo kwny orodha ya Wabunge, povu lingewatoka kama linavyowatoka?
Mwisho wa siku, ni vizuri mtu kuzungumzia mambo ambayo una ufahamu nayo. Mbobevu wa kuuza madawa ya binadamu ajikite huko, fani zingine hali kadhalika.

Jambo la Nusrat limekaa kisheria zaidi, kama wewe haupo kwenye legal fraternity na huelewi nini shauku ya wadau kwenye jambo hili ni busara kujifunza zaidi na kuuliza maswali ili ujenge uelewa. Vinginevyo ni kujidhalilisha tu.
 
Anaye umia si mtumishi ni mwananchi wa chini
Hili hawalioni, maana ukibana maslahi ya watumishi unapunguza uwezo wao wa kufanya matumizi, either kununua au kuwekeza hivyo unakuwa umeathiri kundi kubwa ambalo linategemea mzunguko wa pesa za watumishi, ndo maana kelele ni nyingi mitaani.
 
Back
Top Bottom