saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
Kule kwetu uchagani kudadadeki kipindi cha Krismasi watu wanavizia misa ya usiku. Binti akitoka cvhurch (ofkoz anakuwa kishapanga na bwana wake) Njemba zinavizia rodini. Akikatiza (ofkozi anajipitisha makusudikale) wanamdaka...inaitwa "kutakura" na kumpeleka binti kwa njemba. (Ofkozi binti anajifanya kama hataki vile). Njemba inajilia vyake usiku kucha. Na kule binti asiporudi nyumbani ndo harudi tena.
Kesho yake watu wanaenda kulipa faini na mahari.
Biashara ya "Will you marry me" na goti juu wapi na wapi?
Ndo maana naupenda sana huu usemi
Ukikaangalia kama kana ukweli vile.Rape is not a crime, it's just a surprise sex