OMBI: Mhe Rais usikubali kukaa meza moja na CHADEMA

mkimwita jpm dikteta ndio mnadhani ataacha au kuogopa kutumbua majipu? hii vita dhidi ya ufisadi na uzembe inaendeshwa kisheria. hata mkimuota jpm nini fisadi na mabepari uchwara mnaye tu. wenye kunyea debe lockup wataendelea. biashara ya wanasheria kuuza haki inapigwa vita. wenye kudhulumu umma hatimae watalayiwa hukumu.
Hapa ni kujifurahisha tuu kwa ushauri huu kwa sababu Mhe.Magufuli sio mtu wa kupelekwa pelekwa tuu kama J.K.

Aliishasema hakuna mikutano wala maandamano!, hatakubali ushauri wa mtu wala kukaa meza moja ya mazungumzo na yeyote.

Ukiondoa Mungu, Magufuli anaweza kusikiliza mtu mmoja tuu! , yule Mzee wa Kurasini!, na alikubali kusikiliza inamaanisha atamshawishi aiache katiba iheshimiwe kitu ambacho ni kigumu sana kwa madikiteta wote duniani! .

Pasco
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Mmmmh wewe bwana una misimamamo mikali!, kwa nini watu wasizungumze?. maana mazungumzo ndio silaha kubwaaaaa Duniani, sijui lakini yetu macho na masikio lakini tumuombe Mungu tusitumbukie kwenye kuoneshana ubabe mana wanyonge tutaumia sana.
 
Tandale one; unapozungumzia civil disobedience una maana gani? Disobedience huwa disobedience inapokuwa ni kinyume cha amri halali. Sasa uhalali wa amri za Polisi na watawala ni kwa mujibu wa sheria gani?

Hii hali tete ya mambo ya Ukuta Vs Police/Serikali ni ya kubumba tu, imetengezwa ili kuwatisha na kuwatiisha watu kupitia vitisho, kitu ambacho kwa wanaojitambua hawawezi kukubali.

Itakuwa ni aibu kubwa iwapo kutatokea maafa kwa masuala ya kijinga kama hili.

Vv
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Naunga mkono hoja
 
Bora kuvunjika shingo ukiwa shujaa! Kuliko kujidhalilisha na criminals!

Mdanganyeni hivyohivyo na hali ya kutumbua majipu iendelee mpaka 2020, anakosea mnampigia makofi na yeye anasema ukiona wapinzani wamepiga kelele shikilia hapo hapo ndo unafanya kazi, majipu menyewe kuna kubwa zaidi yale yalopita mawili hayo hawezi kuyagusa ya kununua mgodi kwa milion saba
 
Sitaki kusema kile ninachokijua lakini sitashindwa kukemea pale watu wanapoweka sifa mbele badala ya UTAIFA. Tanzania ni ya kwetu wote si ya chama wala mtu fulani
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Mungu au "mungu"? There is big difference.
 
Hilo ndio tatizo kubwa la wana CCM wengi, huwa hawajui tofauti kati ya Tanzania na CCM. Mara nying hufikiri Tanzania ndio CCM! very pathetic....
 
Ashupazaye shingo mwishowe huvunjika

hakuna aliye juu ya katiba na mzaha mzaha mwishowe hutumbua usaha
...
samahani nitaendelea baadae nimepata taarifa askar mmoja kashauawa mda huu

Ukuta Loading...
ulianza vizuri , lakini mwisho umeharibu sana, kwenye nchi ya wapenda amani hakuna kile kinachoitwa( win, lose) bali huwa kuna (win, win) sasa wewe kwa ufupi huelewi Taifa hili linahitaji nini.
 
Hapa ni kujifurahisha tuu kwa ushauri huu kwa sababu Mhe.Magufuli sio mtu wa kupelekwa pelekwa tuu kama J.K.

Aliishasema hakuna mikutano wala maandamano!, hatakubali ushauri wa mtu wala kukaa meza moja ya mazungumzo na yeyote.

Ukiondoa Mungu, Magufuli anaweza kusikiliza mtu mmoja tuu! , yule Mzee wa Kurasini!, na alikubali kusikiliza inamaanisha atamshawishi aiache katiba iheshimiwe kitu ambacho ni kigumu sana kwa madikiteta wote duniani! .

Pasco

Mkuu unamahanisha hata viongozi wa dini anaowaomba wamuombee hawezi kukubali ushauri wao?. Na wao wakikataa je?
 
Peleka ushauri huo kwa walevi wenzako huko unatuletea ushauri ukiwa Bar huko
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Kwa hili post yako unajionyesha kabisa kuwa wewe ndiyo unafurahia migogoro ndani ya nchi yetu, hivi unafaidika nini? Wewe twambie unachofaidika na hizi kelele za kila kukicha
 
Mkuu unamahanisha hata viongozi wa dini anaowaomba wamuombee hawezi kukubali ushauri wao?. Na wao wakikataa je?
Hasikii la Muadhini wala la mnadi sala, hao viongozi wa dini wapeleke ushauri wao kwa Chadema kuitii katiba mpya ambayo vile vipengele vyote kuhusiana na uhuru wa kukusanyika na kufanya mikutano ya hadhara, vimefutwa kwa kauli ya rais kwa sababu rais Magufuli yuko juu ya katiba hiyo tamko lake ni sheria na limevifuta vile vipengele vyote vya katiba na sheria vilivyoko kwenye katiba.

Labda mtu pekee anayeweza kumsikia ni yule Mzee wa Kurasini. Kwa nini ushauri ni kwa rais wetu kuipindua kauli yake ageuke jiwe na sio kwa wahuni hao wanaotaka kuleta maandamano ya UKUTA kinyume cha sheria mpya ya kuzuia mikutano ya kisiasa? .

Chadema na wahuni wenzao wanaong'ang'ania haki na katiba na utawala wa sheria zilizofutwa kwa kauli ya Rais ndio washauriwe kusitisha maandamano yao haramu na kuitii hiyo sheria mpya bila shuruti! .

Namshauri Rais Magufuli, kiongozi yoyote wa dini akikutafuta na kukusihi ulegeze msimamo wa marufuku ya shughuli za kisiasa, mfukuze! ,kiongozi huyo atakuwa hakutakii mema, anataka wewe ugeuke jiwe! ,shikilia msimamo wako huo huo hakuna siasa mpaka 2020 kwa sababu siasa ni kwa ajili ya uchaguzi tuu, na hatuna uchaguzi mwingine mpaka 2020, hivyo president uko very right, ila CCM pekee ndicho chama chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa urais wa Tanzania hivyo ni ruksa kufanya siasa na mikutano nchi nzima kufuatia haki miliki ya kuitawala Tanzania milele sisi Watanzania tulioipa CCM kwa ridhaa zetu wenyewe kupitia sanduku la kura katika uchaguzi huru na wa haki.

Ila ikitokea akaja yule Mzee wa Kurasini, then huyo ndie pekee, unaweza kumsikiliza kufuatia zile sababu zimeeleza, na pia kauli yake ni kauli ya Aliye Juu Yake na juu ya yote kuliko hata wewe uliye juu ya katiba Tanzania pekee!.

Pasco
 
Upo sahihi mkuu. Hata mimi siungi mkono suala la kukaa meza moja kwa ajili ya mazungumzo. LITAKUWA NI KOSA KUBWA SANA KWA RAIS KUKAA KWENYE MEZA YA MAZUNGUMZO NA WATU WANAOJUA SHERIA LAKINI WANAZIVUNJA KWA MAKSUDI TU. SULUHU NI KUTOFANYA MAANDAMANO, VINGINEVYO NI LAZIMA RAIS AKUNJUE KUCHA ZAKE.
 
Hasikii la Muadhini wala la mnadi sala, hao viongozi wa dini wapeleke ushauri wao kwa Chadema kuitii katiba mpya ambayo vile vipengele vyote kuhusiana na uhuru wa kukusanyika na kufanya mikutano ya hadhara, vimefutwa kwa kauli ya rais kwa sababu rais Magufuli yuko juu ya katiba hiyo tamko lake ni sheria na limevifuta vile vipengele vyote vya katiba na sheria vilivyoko kwenye katiba.

Labda mtu pekee anayeweza kumsikia ni yule Mzee wa Kurasini. Kwa nini ushauri ni kwa rais wetu kuipindua kauli yake ageuke jiwe na sio kwa wahuni hao wanaotaka kuleta maandamano ya UKUTA kinyume cha sheria mpya ya kuzuia mikutano ya kisiasa? .

Chadema na wahuni wenzao wanaong'ang'ania haki na katiba na utawala wa sheria zilizofutwa kwa kauli ya Rais ndio washauriwe kusitisha maandamano yao haramu na kuitii hiyo sheria mpya bila shuruti! .

Namshauri Rais Magufuli, kiongozi yoyote wa dini akikutafuta na kukusihi ulegeze msimamo wa marufuku ya shughuli za kisiasa, mfukuze! ,kiongozi huyo atakuwa hakutakii mema, anataka wewe ugeuke jiwe! ,shikilia msimamo wako huo huo hakuna siasa mpaka 2020 kwa sababu siasa ni kwa ajili ya uchaguzi tuu, na hatuna uchaguzi mwingine mpaka 2020, hivyo president uko very right, ila CCM pekee ndicho chama chenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu wa urais wa Tanzania hivyo ni ruksa kufanya siasa na mikutano nchi nzima kufuatia haki miliki ya kuitawala Tanzania milele! .

Ila ikitokea akaja yule Mzee wa Kurasini, then msikilize kwa sababu sauti yake ni sauti ya Aliye Juu ya yote kuliko hata wewe uliye juu ya katiba tuu! .

Pasco

Nimekuelewa mkuu
 
Mi naona mfumo wa vyama vingi ufutwe turudi kwenye chama kimoja kushika hatamu....Kuuminya upinzani ni kuupa huruma ya watanzania bora kuufuta tu
Hata mimi nimekuwa nikifiri vivyo hivyo, lakini, wakufuta atakuwa nani?
 
Back
Top Bottom