OMBI: Mhe Rais usikubali kukaa meza moja na CHADEMA

Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Mwenye shibe.....
 
Unanufaika na nini kuiona nchi katika political tension?
Au wewe ni mnufaika wa hali hii?
Hii nchi inapenda amani, binafsi sioni maana ya pande hizi mbili kusigana na kuifanya nchi iwe katika hali hii tuliyonayo sasa.
 
Kwani magufuli ni nani nchi hii? Yeye ni nani kufuta suala la vyama vingi? Hv unajua kwanini tulianza kuwa na vyama vingi?
Hata watoto nyumbani wanapaswa kusikilizwa. Chadema walitaka kuhoji kuvunjwa kwa katiba huku watu kama nyinyi mnaona hilo swala ni sawa kabisa na hakosei?
Hv watz tunaenda wapi? Hv mnajua ulimwengu upo wapi kweli hasa kwenye swaa la usawa na demokrasia?
Mbona wao chadema wamevunja katiba yao nani kawaingilia? Maandiko yako wazi, TOA KWANZA BORITI KWENYE JICHO LAKO KWANZA KABLA YA KUTOA KWENYE JICHO LA MWENZIO
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria,
Kwa hiyo maneno ya WANASIASA yamefanyika baada ya Rais kupiga marufuku mikutano na maandamano ya vyma vya Upinzani au kabla?
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Asikubali iliuone mtu anapigwa risasi?? Mungu atakuhukumu
 
Ndiyo Mawaziri wetu hawa
 
Rafiki unapotaka kujenga hoja usiwe na jazba. Hebu fikiria kura milioni nane kwa kura miloni sita, hawa wote ni watanzania na nchi yao ni hii hii uliyopo wewe, swali ni kwamba tuishije sote ndani ya nchi hii kwa amani? Hapo ndipo katiba inapojitokeza na ndio maana kuna kiapo cha kuilinda katiba kwani ndio msingi wa amani. Sasa tujiulize katiba yetu inalindwa au inakanyagwa!!
 
Hawa wajinga si waku kaa nao meza moja!
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Halafu na wewe utadai umesoma. Huu ndio ushauri wa kijinga tangu dunia kuumbwa!
 
Usitaje bure jina la bwana MUNGU wako,hiyo ni moja ya amri katika kitabu kitakatifu BIBLIA ,unaandika taarifa ambazo hazina mbele wala nyuma tena zilizojaa kutu halafu unamtaja aliye juu,kuwa makini,Mungu tunayemuamini anapenda suluhu na amani labda kama wewe ni agent wa LUCIFER sawa endelea la sivyo jiheshimu na uombe msamaha kwa mola,ila punguza mahaba hadi unakuwa tayari kutenda dhambi kisa uwafurahishe wakuu hii si sawa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Usilitaje bure Jina la Mungu.

Unalijua Jina la Mungu?
Mungu ni cheo,Mungu anaitwa nan?
 
Sitaki kuwa mjinga kama mtoa hoja maana naelewa nia yake.kwa mapenzi mema ya nchi yetu Tanzania raid naomba usikubali kuigawa Tanzania binadamu ndo huteleza na kisichobadilika ni msaafu na bible pekee raid jenga Tanzania moja.navkusiwe na matabaka akitukanwa ccm mitandaon tunaona jinsi sheria znavofanya kazi Ila sjaona wapinzani wanavodhalilishwa hadharani mitandaon sheria ikichukua hatua zake.lkn kama INA msaada sawa
 
Kiongo
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!

Andiko lako umejikita kwenye matokeo na ndiko ulikotolea conclusion yako yote. Lakini unachokifumbia macho ni chanzo cha hayo yote. Ambao ni uamuzi ambao hauna mashiko ya kikatiba wala kisheria. Kama ni maandamano haya sio ya kwanza kutokea na siku zote palipotokea shida ilikuwa ni wakati kiongozi fulani alifanya maamuzi na kutoa amri isiyo na busara. lakini watu walipoachiwa na kupewa ulinzi mambo yaliisha salama na mihemko kuzimika. Hili katazo lilianzaa kama utani lilitolewa huko Kusini na PM. Ukatakiwa ufafanuzi bungeni likakanushwa. Baadaye likajitokeza tena ukatolewa ufafanuzi wa kuyeyusha. Baadaye likatoka rasmi ni kuakisiwa kila mahali. Hicho ndio chanzo.
 
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.

Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.

HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.

HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.

Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.

Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!
Pongezi kwa uandishi.Hata mimi nitashangaa raisi eti akikaa meza moja,meza moja...!!!na nani mbowe...haaa!udharirishaji.
 
Back
Top Bottom