TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Hakuna HAKI isiyokuwa na WAJIBU.
Ninatambua haki ya kikatiba ya upinzani kuwepo na haki ya kufanya shughuli zao za siasa, lakini kwa msisitizo wa kutimiza wajibu wa kuheshimu sheria, maelekezo na amri halali zitolewazo na vyombo na mamlaka halali kikatiba.
HAIWEZEKANI, katika sura inayoitwa kufanya siasa, tukaruhusu watu wahimize Civil Disobidience ili wakishughulikiwa wapate Public sympathy iwe ndio njia yao ya kufanya siasa zao, kuyaweka maisha ya watu rehani iwe ndio njia ya kukuza chama chao na kuonyesha uwepo wao.
HII ni NCHI, imefika hapa kwa sababu wapo watu waliojitolea kwa maisha yao, maarifa yao na uwezo wao wote wa kuitunza, kuilinda na kuiendeleza AMANI ya nchi hii. TANZANIA haina tofauti na SOMALIA, wala tusijdanganye kuwa SUDANI KUSINI hakuna binadamu, wapo ila ni kwa sababu mamlaka zao ziliamua kucheka na nyani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt John Pombe Magufuli, nakuomba unisikilize, watu hawa, wanaohamasisha vurugu na kutotii sheria wanaleta chokochoko ya kuiharibu amani yetu, wameamua kukujaribu, wanataka kuona kama kweli kiapo ulichokula siku ya tarehe 05 Novemba 2015 pale uwanja wa Taifa unaweza kukitetea. Mhe umeapa kuilinda amani ya nchi hii na ukachukua ahadi mbele ya MUNGU kuwa utawalinda watanzania na mali zao.
Mhe Rais, Watanzania wana HOFU, wanaposhuhudia Askari wanaopaswa kuwalinda wanauwawa kila uchao, wakisikia kuwa kuna wanasiasa wanasema Waziri wa Ulinzi ndio anahusika na mauaji na kwamba ni "mchezo" tu wa polisi wenyewe unaitwa "conspirancy". Yet watu wanaosema haya wapo mtaani, wanatamba na wanajitangazia ushujaa......NOOOOOOO WAY. Hatuwezi kukubali kuanza kwa udhaifu, ukiwaruhusu kuyafanya haya leo, itatengeneza precedent mbaya sana katika miaka 10 ya utawala wako. Hawa watu ni criminals, wavunja sheria, wana-impose unnecessary public fear, ni lazima kutafuta namna ya kumalizana nao. Na namna yenyewe haiwezi kuwa kuwaita kwenye meza, uwape juice, wamekalia couch wanapigwa na AC, hapana haiwezekani kuwa namna hiyo.
Hii ni NCHI, umechukua dhamana mbele yetu na mbele ya MUNGU wako, basi ilinde dhamana hiyo. Narudia tena hawa si wanademokrasia, these guys are criminals, crystal clear..!!