Ombi maalumu kwa Rais Magufuli juu ya Nape, Polepole na Makongoro Nyerere

Nape kwa kweli ni kifaa sana .
Namkubali sana .
Ni mkweli, jasiri, muwazi na mpenda haki.

Kwa sasa ndani ya CCM hakuna kijana wa enzi ya sasa wa kulinganishwa na Nape enzi zake akiwa UVCM.
Ni jembe kweli kweli. Siasa anaijua sana na msomi pia.

Kutoka Moyoni hua namiubali sana Nape. Hana kinyongo cha kisiasa zaidi ya kuhubiri kile anachokiamini na kukataa kwa nguvu zote kila asichokiamini.
Huyu kada halisi wa imani ya CCM ile ya mwaka 1977.

CHADEMA wakifanikiwa kumsajili huyu kada kwa kweli watakuwa wamebakiza usajili mdogo wa baadhi ya wanasiasa ndani ya CCM ili ikamilishe usajili na kusubiri kifo cha CCM kati ya 2020 na 2025.

Ni bora CCM ikafia 2020 mana bado itakua na watu wa kuizika lakini ikilazimusha kusogeza mbele siku zake za kufa mpaka 2025 basi wakati huo haitapata hata mtu wa kuhudhuria kwenye mwisho wake.
Vijana wa ccm makini tupo
 
Unatuchafulia sherehe!!! Habari/issue au stori ni kuachwaaaaa! Kwanini usimshauri mkulu kuwafukuza mafisadi waliobaki mapema kama makengeza wasijeanza wao kujiondoa then mkahangaika mpaka mkapata aibu ya funga mwaka 2017 kama ile ya taarifa ya spika " Sijapokea barua kutoka kwa Nyalandu ila nimepokea barua kutoka fisiem ya kumfukuza"
 
nape alisema ccm itashinda hata kwa wizi wa kura(bao la mkono)..ni wa ovyo sana huyu
jpm amshughulikie tu
 
Mimi kuna vitu navichanganya viongozi wetu wako upande gan Uzalendo, Elimu, Njaa, Tamaa. Maana viongozi wetu wote wanaharufu ya hivi vitu mtu akiwa anachambua nchi akiwa na njaa utampenda lakin akipata kazi
 
Vijana wa ccm makini tupo

Umakini wa kurusha ngumi na kujificha nyuma ya Vyombo vya dola.

Hamjiamini kwa hoja.
Mnajiona kuwa ni watu maalum wasiostahili kulaumiwa kukoslewa ,kubezwa, kuweka debate, kukutana kwenye malumbano ya hoja n.k.
Mna hasira na visasi, mna kiburi na dharau japo hampendi kudharauliwa.

Enzi za Nape ilikua ni rahisi kumkuta Nape akiwa kwenye Television pamoja na Zito au Dr. Slaa au Mbowe huku wakiwa wanapingana live kwa hoja zenye mashiko.

Leo hii hata kwenye msiba tu wa mtu wa chama cha upinzani hakuna kijana wa UVCCM anayeweza kuhudhuria na kutoa hata pole kwa Mtanzania mwenzake na binadamu mwenzake aliyetangulia mbele za haki.

Ni vijana wasio na akili za kujitegemea zaidi ya chuki na visasi na kutamani kupewa bila kuonyesha uwezo.

Leo hii hata uchaguzi wa UVCCM hauna mvuto wala mchuano wa kuvuta hisia za watanzania.
 
Mkuu wa nchi yangu na mwenyekiti wa chama dume africa nzima, kwanza naupongeza uongozi wako uliotukuka,

Mheshimiwa kupitia maoni ya watu mbali mbali kutoka kwa watu kwanza wanakukubali kwamba ni jembe kali mno,

Mkuu watu wana maombi matatu muhimu

1.Kuhusu Nape Nnauye

Mkuu wa nchi pamoja na mapungufu ya kibinadamu aliyonayo bwana Nape Nnauye lakin ana mazuri yake , tu najua kila binadamu ana mapungufu yake lakin tunakuomba umsamehe Nape na kumpa angalau kazi ndani ya chama , Anaweza kuwa katibu mkuu mzuri ambaye naona anaweza kukaribia viatu vya Kinana,

Kwanini Nape awe katibu mkuu?

A.Anaijua ccm kiundani na anajua kazi za chama kisiasa,
B.Kasi yake ni kubwa mno kiutendaji
C. Amepikwa vizuri na mzee kinana na ziara nyingine wamekuwa wote akiwa mwenezi,
D. Hana kashfa ya rushwa anachukia Rushwa toka moyoni,

2. Humphrey Pole pole
Mheshimiwa rais bwana pole pole hamkumtendea haki kumpa uenezi ,yeye kazi ya uenezi haiwezi , humphrey ni mtu wa facts na.ukweli wakati uenezi unahitaji propaganda zaid ya ukweli, na rafu za s siasa haziwezi pole pole,

Kazi inayomfaa pole pole ni ukatibu, ubalozi, au kazi nyingine kama uratibu au ukuu wa wilaya ni kijana mzuri katika mazingira yanayohitaji fikra pevu za ukweli mtupu na facts,
Naomba umfikilie katika ubalozi au kazi nyingine, lakin si unenezi siasa za rafu na propaganda haziwezi,
Nafasi yake izibwe na livingstone lusinde mbunge au Magoiga SN anaweza sana au kuna jamaa anaitwa raia mpenda haki,

3. Makongoro Nyerere
Huyu kaka kakupigania sana wakati ukipiga kampeni na kazi anaiweza tunaomba umpe kazi akusaidie katika gurudumu la maendeleo,

Hakuna ambaye hajui uwezo wake na usmart wake,

Mheshimiwa nawakilisha
Mku kumbuka Nape sio wa kuonewa huruma kwani ana uwezo. Namshauri Nape apambane abaki ktk Ubunge ili apate muda wa kufanya mambo yake ya kujitenga zaidi ktk medani ya Siasa
 
Kwa makongoro hapo umekosea, mkuu anataka watu watakao mlamba miguu sasa mtu kama makongoro hiyo hawezi inafaa watu aina ya bashite.
Hii nafasi ya Ukatibu Mkuu hatuna mtu labda Mzee Wasira
kwani huyu ni mwanasiasa ila kuna vitu vidogo itabidi kubadilika lakini hii nafasi inamfaa Sana
 
Mkuu wa nchi yangu na mwenyekiti wa chama dume africa nzima, kwanza naupongeza uongozi wako uliotukuka,

Mheshimiwa kupitia maoni ya watu mbali mbali kutoka kwa watu kwanza wanakukubali kwamba ni jembe kali mno,

Mkuu watu wana maombi matatu muhimu

1.Kuhusu Nape Nnauye

Mkuu wa nchi pamoja na mapungufu ya kibinadamu aliyonayo bwana Nape Nnauye lakin ana mazuri yake , tu najua kila binadamu ana mapungufu yake lakin tunakuomba umsamehe Nape na kumpa angalau kazi ndani ya chama , Anaweza kuwa katibu mkuu mzuri ambaye naona anaweza kukaribia viatu vya Kinana,

Kwanini Nape awe katibu mkuu?

A.Anaijua ccm kiundani na anajua kazi za chama kisiasa,
B.Kasi yake ni kubwa mno kiutendaji
C. Amepikwa vizuri na mzee kinana na ziara nyingine wamekuwa wote akiwa mwenezi,
D. Hana kashfa ya rushwa anachukia Rushwa toka moyoni,

2. Humphrey Pole pole
Mheshimiwa rais bwana pole pole hamkumtendea haki kumpa uenezi ,yeye kazi ya uenezi haiwezi , humphrey ni mtu wa facts na.ukweli wakati uenezi unahitaji propaganda zaid ya ukweli, na rafu za s siasa haziwezi pole pole,

Kazi inayomfaa pole pole ni ukatibu, ubalozi, au kazi nyingine kama uratibu au ukuu wa wilaya ni kijana mzuri katika mazingira yanayohitaji fikra pevu za ukweli mtupu na facts,
Naomba umfikilie katika ubalozi au kazi nyingine, lakin si unenezi siasa za rafu na propaganda haziwezi,
Nafasi yake izibwe na livingstone lusinde mbunge au Magoiga SN anaweza sana au kuna jamaa anaitwa raia mpenda haki,

3. Makongoro Nyerere
Huyu kaka kakupigania sana wakati ukipiga kampeni na kazi anaiweza tunaomba umpe kazi akusaidie katika gurudumu la maendeleo,

Hakuna ambaye hajui uwezo wake na usmart wake,

Mheshimiwa nawakilisha
naona mnaendelea kugawana kanzu!!
 
Naungana na wewe kabisaaaa!!Pole pole kazi ya ueneze haiwezi !!atafutiwe kazi nyengine!!huyu ni sawa na Dr mashinji Wa chadema!! Nape sawa kabisa lakini aache makundi na kumsapoti aliyetemwa kwenye tano bora!!
 
Back
Top Bottom