Ombi maalumu kwa Rais Magufuli juu ya Nape, Polepole na Makongoro Nyerere

No. 1 Ni rahisi kukasirika na kutoa siri za chama pindi akiyumbishwa na mitazamo tofauti.
No. 2 Ni mapema sana kumjadili.
No. 3 Anaweza kuyumbishwa na kukipoteza chama katika mstari, kwani kabla Mzee wake Baba wa Taifa Mwl. Nyerere ajafariki aliwahi kuhasi Chama na kujiunga na upinzani. Lakini ni mzuri kama atajisahihisha na kuapa kukitumikia chama na kusahau yaliyopita.
 
Nape kwa kweli ni kifaa sana .
Namkubali sana .
Ni mkweli, jasiri, muwazi na mpenda haki.

Kwa sasa ndani ya CCM hakuna kijana wa enzi ya sasa wa kulinganishwa na Nape enzi zake akiwa UVCM.
Ni jembe kweli kweli. Siasa anaijua sana na msomi pia.

Kutoka Moyoni hua namiubali sana Nape. Hana kinyongo cha kisiasa zaidi ya kuhubiri kile anachokiamini na kukataa kwa nguvu zote kila asichokiamini.
Huyu kada halisi wa imani ya CCM ile ya mwaka 1977.

CHADEMA wakifanikiwa kumsajili huyu kada kwa kweli watakuwa wamebakiza usajili mdogo wa baadhi ya wanasiasa ndani ya CCM ili ikamilishe usajili na kusubiri kifo cha CCM kati ya 2020 na 2025.

Ni bora CCM ikafia 2020 mana bado itakua na watu wa kuizika lakini ikilazimusha kusogeza mbele siku zake za kufa mpaka 2025 basi wakati huo haitapata hata mtu wa kuhudhuria kwenye mwisho wake.
KUTOKA NAPE KAMA VUVUZELA HADI NAPE MTARAJIWA WA KUIOKOA CHADEMA. SIKU IKITOKEA HATA BRAZA CHENGE NAYE AKIONESHA DALILI ZA KUKELWA NA CCM NADHANI CDM WATAANDAMANA KWENDA BARIADI KUMWOMBA AJIUNGE NAO. FISADI AMA HUNA AKILI UKIWA CCM, SAME PERSON UKIWA CDM NI CLEAN.
 
Kwa Nape na makongoro umenena Vema, kwa Polepole anafaa kuendelea kukamatia hapohapo, ukitaka kuprove hili tazama namna Chadema wasivyompenda utagundua kuwa sio bure kuna kitu
 
chakubanga(pole pole) abaki kwenye nafasi yake ili 2020 alete vifact vyake uchwara CHADEMA tuweze kumnyonyoa vizuri.

NAPE tutamsajili na atakuwa katibu mwenezi wa CHADEMA 2020.
Katika siasa kuna sarakasi nyingi lkn hii ya nape kwenda chadema labda 2050.nape mtoto wa mjini hawezi kupiga sarakasi kwny maji ya choo.
 
Polepole anafaa nafasi ya mzee Mangula akistaafu, kwa Nape Yes, anaipenda CCM. Ila ajiangalie tu some leaders are domineering as some parents. Jk si hulka hiyo, kuna shida gani, pamoja na kutekeleza majukumu yako, una muulizia Bosi wako, kwenye mambo yenye utatanishi, Nina mtizamo huu, mkuu wewe unasemaje? Ni hekima tu! Makongoro ni kweli , kwa heshima ya familia ya Mwl. Nyerere, haipaswi kuachwa kivile. Naamini Mhe.Rais ni msikivu!
 
KUTOKA NAPE KAMA VUVUZELA HADI NAPE MTARAJIWA WA KUIOKOA CHADEMA. SIKU IKITOKEA HATA BRAZA CHENGE NAYE AKIONESHA DALILI ZA KUKELWA NA CCM NADHANI CDM WATAANDAMANA KWENDA BARIADI KUMWOMBA AJIUNGE NAO. FISADI AMA HUNA AKILI UKIWA CCM, SAME PERSON UKIWA CDM NI CLEAN.



Ni bora Nape Vuvuzela asiye na kinyongo.

Majina kama Vuvuzela na mengineyo ni majina ya utani japo wanaomwita hivyo wanajua kuwa kile ni kifaa.

Hivi unagikiri kama pangekuwa na katiba mpya CCM ya kujificha nyuma ya mabomu na virungu vya polisi ingekuwepo?
CCM ilishabwagwa tangu mwaka 1995.
 
JPM amekosea sana kutokuiona strength ya Makongoro badala yake aliegemea upande mmoja wa udhaifu wa binadamu
 
Back
Top Bottom