Ombi maalum kwa Rais wangu Magufuli

Ombi maalum kwa Rais wangu Magufuli

Shukran mkuu wangu kwa Ushaur but lengo kuu pamoja na kuchapia ila nisameheni ndugu zangu ni kwamba tusio kuwa na vyama tuonyeshe makali mkuu tumechoka na nikweli sijawai jiunga na chama chochote japo kura huwa napiga ila kutoka mwoyoni vyama vinatuangusha mkuu wangu ni mda serikali akatuangalia sie kwa jicho la ziada ila sio jicho la huruma mkuu

Jikane nafsi! Fanya yako mkuu!usipigie kura tena mkuu..kidogo inapunguza maumivu
 
CHADEMA wako vyema sana kwenye intelijensia. Hebu fikiria hawa wange pewa madaraka kwenye huu uchaguzi ulio pita nini kinge tokea? Yaani wali jipanga kuimaliza Chadema ila wakaumbuka. Sasa wana rudi kwa walio watuma.
Ina semekana huyu Sembeye alikuwa dereva wa Mashinji????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wangu hapa mambo ya vyama achana navyo lengo kwa wasio na vyama tunataka haki yetu tumechoka
 
Siyo mazalu wana...sema mazarau...kuwa kuzungumza piga kimya...

Hata kukosoa hauwezi...unakuwa kama manzi wa uswazi...
Ebu jikite kwenye hoja Wenda kiswahili wakijua sana kama ningekua mwepesi Wa kutukana ningekutana mpaka ujinyee kama kiswahili mpaka Leo watu wasomea kwa miaka mitatu chuo Leo wajifanya wakijua sana bumpavu sana na ieleweke pumbavu sio tusi ila iwezo Wa MTU pambanua mambo kama wewe PUMBAVU SANA
 
Asante sana...😂😂😂😂😂...sasa hivi umekuwa makini kwenye uandishi wako ambalo kwangu ni ushindi mkubwa...sasa uwe unaandika hivi sawa kijana!!!!
 
Back
Top Bottom