Jina langu ni kama unavyolisoma hapo juu.
Leo kwenye kupitia faili langu nimekutana na haya hapa:
Join Date : 11th April 2011
Location : Mafinga
Posts : 20,458
Rep Power : 42,512,103
Likes Received : 11,289
Likes Given : 27,087
............... Ombi langu
Ni hivi hii, hapa Rep Power : 42,512,103
tubadilishane kwa pesa.
mimi hapo nitapewa ngapi?
Nikukopeshe za kwangu. Mi nnazo nyingi kuliko dola zote za Mugabe.