LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 533
- Thread starter
- #41
Member of mirembe hospital
Umejiunga lini huko Mirembe?
Member of mirembe hospital
Ni wakati gani alimtaja Lisu? Hakuna popote alipomtaja ila watu mmeshuku kuwa alimtaja yeye kwa sababu ya hulka yake
We jamaa inaonyesha umezidisha unazi kias umekuwa kipofu kabisa
Baada ya kupata nafuu,eti mgonjwa anamtukana dactari kuwa hajui kutibu!
TAFAKARI!
TL kesi ya mauwaji north mara iliishia wapi?
Umesema vizuri kweli; lakini atajuaje kama hajajichanganya...!
Alimtaja ila sion kama ni ishu sana
Wabunge was safari hii mmh ujana name ushamba sijui
Kwan TL no mwanasheria wa mazingira