Ombi Maalum Kwa JK!

JK asipothibitisha Jinsi TL anavyowachanganya wengi kwa matumizi mabovu ya sheria si na yeye (JK) atakuwa amejichanganya na kuwachanganya wengi zaidi ya Tundu Lissu hasa kwa kushindwa hata kuutumie msemo wake mwenyewe-Akili za kuambiwa Changanya na za kwako.
 
maswali yako labda uyaache getini , hajasafiri kweli ?
 
miaka arobaini na saba iliyopita usingethubutu kuongea haya wewe kwa mkuu wa ''nji''? ha ha ha
 

Kwa hili hata mimi nalishangaa,kwani kikwete aliongea kama nani,au nchi hii ni baba yake? Mambo mengne anaropoka kutokana na ufinyu wa fikra tu. Ni mchumi ila uchumi wenyewe haujui kutwa kwenye kuzurura safari zisizo na maana,sasa anaingilia sheria,hii sheria aliisomea wapi na lini?
 
Rais alikuwa anatania tu, hafu naomba umwache anakazi nyingi sana za kufanya, kwasasa anasuka upya baraza la mawaziri, wajumbe 201 wa bunge la katiba, operation tokomeza phaseII, tumpe muda tafadhali

 
Rais alikuwa anatania tu, hafu naomba umwache anakazi nyingi sana za kufanya, kwasasa anasuka upya baraza la mawaziri, wajumbe 201 wa bunge la katiba, operation tokomeza phaseII, tumpe muda tafadhali

Wale mawaziri "mizigo" anawa-recycle, ndio unachodai kuwa "anasuka?" Na hiyo operation "tokomeza" si PM alidai kwa "wapigwe tu, maana tumechoka?" Sasa analalamika nini wakati amri ya PM inatekelezwa?
 
TL kesi ya mauwaji north mara iliishia wapi?
 
Baada ya kupata nafuu,eti mgonjwa anamtukana dactari kuwa hajui kutibu!

TAFAKARI!
 
Mimi ningemuomba Jakaya TO WALK THE TALK kama alivyosema kuwa wabunge wa bunge la katiba waweke uTaifa mbele; in fact yeye ndiye anayetakiwa aoneshe njia ya kuweka Utaifa mbele pale atakapoteua wabunge wa katiba kwa kufuata weledi wa hao waliopendekezwa na kuacha ushabiki na visasi vya kichama!!! Asipofanya hivyo atatuachia balaa nchini mwetu wakati yeye atakuwa huko kwao Msoga akilima mihogo!!
 
Ni wakati gani alimtaja Lisu? Hakuna popote alipomtaja ila watu mmeshuku kuwa alimtaja yeye kwa sababu ya hulka yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…