Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni moja;tunaomba mboreshe huduma za matibabu haswa upande wa matibabu ya moyo,figo na ini.haya magonjwa yanaua sana walipa kodi wenu!tukumbukeni na sisi walevi jamani!tambueni mchango wetu kwenye budget jamani!
Thread of the Day..........Platinum!Kila budget inaposomwa utasikia kodi ya vinywaji iko juu.sio mbaya labda mnataka tuache unywaji wa kupindukia.ombi letu sisi kama wanywaji na wachangiaji wakubwa wa kodi serikalini ni moja;tunaomba mboreshe huduma za matibabu haswa upande wa matibabu ya moyo,figo na ini.haya magonjwa yanaua sana walipa kodi wenu!tukumbukeni na sisi walevi jamani!tambueni mchango wetu kwenye budget jamani!
Ish! We haijala kwako? Tusipokunywa madaktari watapata wapi mshahara? Utatibiwa na nani wakigoma?imekula kwenu
Hakika wewe utakuwa nami kwenye ufalme wangu!Safi sana jack!
Kitabu kipi? Umekisoma vizuri?Pombe haifai ndugu yangu, ndio mana maandiko matakatifu yaka ikataza.
Hebu waulize bandugu! Wanachonga sana huku wanakula kodi zetu!sasa kwa nini mchukue kodi za walevi?
proverbs 31; 6-7, 'give beer to those who are perishing, wine to those who are in anguish. Let them drink and forget their poverty and remember their misery no more.....Hivyo basi, kwa maskini kama sisi, na watu wenye shida mbali mbali ya aina yoyote ile.. Pombe imehalalishwa, na ni nzuri kbsa,,"Wine is a mocker, strong drink is a brawler, and whoever is led astray by it is not wise." (Proverbs 20:1, NKJV)
Well said Mr. Architectproverbs 31; 6-7, 'give beer to those who are perishing, wine to those who are in anguish. Let them drink and forget their poverty and remember their misery no more.....Hivyo basi, kwa maskini kama sisi, na watu wenye shida mbali mbali ya aina yoyote ile.. Pombe imehalalishwa, na ni nzuri kbsa,,
thanku mr. Asprin,Well said Mr. Architect
mkuu lazima ulinganishe athari na faida ndio utoe hukumu!You people!Athari za alcohol sio kwa mnywaji tu peke yake! Hii huleta madhara mpaka kwa wengine tena wasioitumia wala kuihitaji kama watoto, spouses na hata jamii! Maovu mangapi yaletwayo na pombe? Waulize watoto wa NUHU wa safina!:angry: