Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,550
- 1,166
- Thread starter
-
- #21
I hate you
Yaani nakupenda mpaka kumoyo. Hata kama ukinisusia ntakufuata hukohuko uliko.babu luvs ndo nini?
me love uuuu mwaah
me love uuuu mwaah
me too dear.
Kwa kuwa umekataza Kidhwungu tu, mi nitaungama kwa Kithwahili:
Nakupenda, au kwa Kiluo sio mbaya, neno moja tu = Aheri.
By the way, kwa nini wewe na Nitonye mnakuwa mnapoteapotea sana?
Erokamano Charminggirl, an be aheri.an be aheri MAMMAMIA
me love uuuu mwaah
Yaani nakupenda mpaka kumoyo. Hata kama ukinisusia ntakufuata hukohuko uliko.
bila shaka ni msg yangu hii.. love you two, three, four mpka mwisho..
Thank Kaby
i dont hate you
Kwa kuwa umekataza Kidhwungu tu, mi nitaungama kwa Kithwahili:
Nakupenda, au kwa Kiluo sio mbaya, neno moja tu = Aheri.
By the way, kwa nini wewe na Nitonye mnakuwa mnapoteapotea sana?
napita
Kabakabana wacha bwana! Nilitarajia ungeweka kastori kafupi kuhusu ulivyotendwa mpaka ukachukia hayo maneno matatu. Ni Excellent huyo au nani dear? Pole sana.Na pia usiwe unajificha namna hiyo maana mimi binafsi sipokuona jamvini nataka kula sumu.