Ombi la Msukuma kwa Rais katika jimbo lake

Ombi la Msukuma kwa Rais katika jimbo lake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,356
Joseph Musukuma. "Mh. Rais shida yangu ni Moja tu, jimbo zima hakuna askari wa kike, nikiomba naambiwa mgao, ikikupendeza ukiagiza hapa nipewe wanne, watu wanapekuliwa na askari wa kiume na maumbile yetu wasukuma unayajua"

1154299
 
Hapo mwishoni sijaelewa kwa Ndugu Msukuma. Kwani maumbile ya wasukuma wanaopekuliwa na askari wa kiume badala ya wanawake( wasukuma wanawake) yakoje?

Aione: manengelo
Amemaanisha wamama wa Kisukuma wanapekuliwa na askari wa kiume kwa ukosefu wa Askari wa kike ilhali maumbo yao yanajulikana.
 
Back
Top Bottom