ZZK is really genius, amegundua hata akiyataja hakuna litakalofanyika zaidi ya maisha yake kuwa katika risk, ukweli Tanzania imeoza kwa uzembe na ujinga wa serikali na watu wake pia, hivi kama Rais alishindwa kutaja majina ya wauza unga unategemea ZZK afanye nini ktk hili suala lake,hivi kama Waziri kagasheki pamoja na kinga zote alizo nazo alishindwa kuwataja majangiri licha ya kuwafahamu mpaka kwa vyeo vyao unategemea ZZK atafanya kitu gani? Tumeshuhudia kapuya na skendo yake ya kubaka binti vipi kuna hatua zozote zimechukuliwa mpaka sasa?? Sasa hapa mnataka zito ayatakje hayo majina ili iweje ama ili nn kifanyike?? Nasubiri wampeleke mahakamani mana kule ndio sehemu nzuri ya kutoa ushahidi sio bungeni kulipojaa wapuuzi na wachumia tumbo......GO GO ZZK
You must be working for him,I don't see any genius here! Genius anachelewa kugundua namna hiyo?
Unatoa mifano ya ajabu ,Rais hakutakiwa kutaja majina ya wauza unga ,alitakiwa awashughulikie .
Kama anayo majina na hawezi kuyasema kwa nini anaongelea kila siku atuambie yeye either MWOGA ama MUONGO!!
Kama anaogopa aweke hapa with unidentified ID....hamna kitu ...wewe unafikiri majina yale unapata tuu he is no damn hacker!!
Hamtetei munamuangamiza zaidi kama gari linapiga resi kwenye tope na kuzidi kujichimbia chini.