Tunanyooka wote maana hata JF atukuweza kuingia hadi tulipodownload VPN, sio kwamba CCM walikuwa wanaweza kuingia kwenye social networks na wapinzani ama wasio na mrengo wowote wa kisiasa walishindwa. Tunanyooka kwa pamoja 🤫
Tunanyooka wote maana hata JF atukuweza kuingia hadi tulipodownload VPN, sio kwamba CCM walikuwa wanaweza kuingia kwenye social networks na wapinzani ama wasio na mrengo wowote wa kisiasa walishindwa. Tunanyooka kwa pamoja