Ombi la kubadili kituo cha kazi

Vanclassic

Member
Joined
Sep 9, 2024
Posts
91
Reaction score
203
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano

Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
 
Vipi mdogo wangu umegombana na Makuti Handeni nini hadi unaamua kupakimbia?
 
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano

Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Handeni sehemu gani?
 
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano

Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Wewe ni mwalimu,polisi,nesi ,daktari au mtendaji wa Kijiji? Msomi hujui kujieleza ukaeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…