Ombi la kazi yoyote

masanjuo

Senior Member
Oct 10, 2016
184
306
Wana jf habari za siku nyingi kidogo, umri nimiaka 29 kabila mchaga najua ili jukwaa Sio mahali kwake lakini nimelitumia Kwa sababu linawatu wengi sana wanaoenda kulitembelea.

Ombi langu kwenu wanajamii wenzangu natafutaa kazi yoyote Ile nafanya, Mimi mchapakazi najituma hodari pia mchamungu ..ntafanya kazi Kwa usahihi uweledi na kujituma mpaka nimefika ili jukwaa mjue Hali si nzuri wanajamii wenzangu naomba mnikumbuke.

NB: Naomba msininicoment vibaya kama nimekosea naomba radhi asanteni na mchana mwema ....ntafurahi endapo ntapata majibu mazuri. Taaluma yangu ni mwalimu ngazi ya shahada nafanya chochote zaidi hata ya taaluma yangu asanteni.
 
Back
Top Bottom